Inakera sana kupishana na kijana wa kiume ananukia kama mwanamke

Sana km unavyonukia we we ke na yeye me ananukia hivyo hivyo kwa nini usivutike na wewe mwenyewe,tofautisheni minukio
Acheni kuiga
Hata watengenezaji wametofautisha minukio ya ke na me,
Mm sinukii chochote,manukato wala kikwapa,na nnajikubali na kujipenda sana,nawaona wanaohangaika kubadili vichupa na majina ya manukato
 
Anzeni na kuvaa magauni,
Maana km mmetengenezewa minukio ya ke na me ninyi mnapenda ya ke tuwafanye nini sasa,afu mnajiita wajanja,
 
Aisee kumbe harakati zoooote ni upendwe na wadada,
Aisee
 
Ndo vijana wa Da salaam hao mkuu, kuvaa nguo/suruali na kupaka mafuta ya dada zao ndo zao
 
Bora huyo ambaye kapulizia marashi ya maiti yenye KUNUKIA kuliko mwanaume anayenuka jasho, kikwapa, pombe au tumbaku hii inakera zaidi.
Wanaofanya hayo ndo wanukaji wakongwe,
Ili kuficha mnuko wanazibia na kamarashi kakali ka kike,
Kutana nae akiwa hajajifoji na huo uanamke ndo utamkoma,
Mwanaume uko bize na mambo anayofanya mkeo au demu wako,
Watafute za kiume,
Dressing table km ya wema kwa Me ya nn
 
Kwa hiyo mleta mada kwako mtu wa kiume bora zaidi ni yule anaenuka nguvu au [HASHTAG]#ubinadamu[/HASHTAG]
 
Hivi mleta mada kasema mwanaume anuke kikwapa?,
Au kasema harufu Kali ya KIKE,
wapo wanawake kibao hawatii chembe ya kinukishi chochote na bado hawanuki vibaya,
Wapo watu wananuka tu hata waoge hao acha watumie vinukishi km dawa wasitake kutudanganya kuwa ni wapenzi tu,
Afu unajinukishaje ki like kike?
Mnaosema kikwapa kwani ke hawanukagi kikwapa siyo!
 
Anzeni na kuvaa magauni,
Maana km mmetengenezewa minukio ya ke na me ninyi mnapenda ya ke tuwafanye nini sasa,afu mnajiita wajanja,
Utachekwa mpaka na KUKU mkuu.....kunuka KORODANI.na Kunuka KIKWAPA.... hakukufanyi kuwa..mwanaume kamili...zaidi ya KUWA MCHAFU TU....usiwe na ufinyu wa fikra.... UCHAFU NI TABIA YA MTU...so unaona BORA unywe viroba...kuliko kununuwa japo... BODY SPRAY?sio kwl kwamba perfumes zinazonukia sn ni za kike...Google KUROUS....JOOP...ESYMIAKE... HUGO BOSS...for man...yatakuja hayo unayoyaona hapo..
Usidanganye wenzio... wewe HUBADILISHI CHUPI hadi UINUSE KWNZ....kama hainuki hata WEEK HUBADILISHI..
.ndy uanaume huo?wewe ni MARINDA LESS MCHAFU....straight...
 
Aisee kumbe harakati zoooote ni upendwe na wadada,
Aisee
Kwani kwa akili yako tunatafuta pesa WANAUME USIKU NA MCHANA kwa ajili ya NANI?au kutwa unajiweka SMART kwa ajili ya nani?usijidanganye mkuu...hii ipo natural....mwanamke yupo busy kwny KIOO NA KIJIREMBA SABABU YA WANAUME.... na wanaume busy na pesa sababu ya mwanamke.. Ipo hivyo...LEO UKAE BILA MWANAMKE kama watu hawajaanza kukutilia mashaka ya kufumuliwa marinda...
 
Umenena vyema MKUU...sasa mfano wewe unapenda perfumes nzr...halafu mume wako ANANUKA MDOMO..
Na mikwapa..
Kwa kifupi mume ni mchafu..
Nini kinafata?
 
Mkuu mbona MAPOVU ya NJANO? VIPI? au habari ya kunuka mikwapa imekugusa?mtoa mada amesema MWANAUME ananukia km mwanamke..
Hivi mwanamke ana harufu gani?au mwanaume ana harufu gani?elewa perfumes ni kama NGUO....inakuongezea points za kuwa MTANASHATI... ukiona wewe ni mwanaume MCHAFU...MNUKA KIKWAPA umeoa..
Au una girlfriend... Elewa UNACHUNWA TU....hakuna mwanamke anayempenda MWANAUME MCHAFU...
 
Huo uanaume wa kizamani..kwamba kisa DUME hupaki mafuta..kisa dume CHUPI UNAVAA WEEK..kisa dume HUNUKII PERFUMES.. hivi vitu vinazidisha hata. Mahaba na mkeo nyumbani... Harufu nzr inavutia vipepeo na nyuki....mkuu..
 
Hii shida ya waafrika eti mwanamume kujipaka marashi pia imekuwa ni issue. Tatizo wengi wamezoea mnuko kuanzia alikokulia mpaka nyumbani kwake
 
Jamani eH mtuache wana,maana kunukia ndio kitu ambcho.Warembk wenyewe wanavutiwa na mwanaume ambaye yupo smart na ananukia fresh.
 
Hii shida ya waafrika eti mwanamume kujipaka marashi pia imekuwa ni issue. Tatizo wengi wamezoea mnuko kuanzia alikokulia mpaka nyumbani kwake
Umenena vyema mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…