Inakuaje akaunti ya M-Pesa ya CHADEMA inasema pesa zimejaa wakati kwenye makubaliano Vodacom ilisema akaunti haina ukomo?

Inakuaje akaunti ya M-Pesa ya CHADEMA inasema pesa zimejaa wakati kwenye makubaliano Vodacom ilisema akaunti haina ukomo?

Siwezi shangaa kwa hili!

Kama ukumbi tu walifanyiwa figisu na kule alipokwenda kiongozi wa Chadema Toka Zenji mkutano ulizuiwa kwa mtutu wa mabunduki

Hivyo hili si ajabu kabisa
 
Voda watajiangusha na kuharibu biashara yao kama ni kweli.Baadhi wataikimbia kwa hilo wasitumike kisiasa. wanalipwa fee nzuri watumie fursa hii
 
Propaganda za kipuuzi kabisa hizi. Kama akaunti imejaa pesa tuonesheni ni shilingi ngapi zimo humo! Lissu HANA ubavu wa kuchangisha zaidi ya milioni kumi. Ushahidi ni michango ya gari lake.
Wewe kweli punguani!!
Ina maana hujaona hata hiyo meseji ya vodacom? Hilo sawali la kipuuzi waulize vodacom ili wakuambie kwa nini wanasema account imejaa pesa, haiwezi kupokea zaidi wakati Lisu hana uwezo wa kuchangisha pesa!!

Upunguani siyo sifa ya kuionea fahari. Kwa nini unatamba na upunguani wako?
 
Watu wengi wameeleza kushindwa kuichangia CHADEMA kupitia mtandao wa Mpesa/Vodacom.

Baadhi ya waliojaribu kuwasiliana na Vodacom huduma kwawateja, wameambiwa kuwa eti akaunti hiyo ya CHADEMA imejaa pesa, na hivyo haiwezi kupokea hela zaidi. Wakati kwenye makubaliano kati ya CHADEMA na Vodacom, akaunti hiyo ya CHADEMA, haina ukomo wa kupokea pesa.

Hivyo kushindwa kupokelewa pesa kutoka kwa wadau wa CHADEMA inaonekana ni mpango uliosukwa kati ya Vodacom na mahasimu wa CHADEMA, kwa nia ya kuihujumu CHADEMA.

Kweli CCM ni chama cha uharibifu wa kila eneo!!!

Muda si mrefu, viongozi wa CHADEMA watatoa tamko kuhusiana na uharamia huu wa kampuni ya Vodacom.

View attachment 3254909
Tumeni kwa bank, bank haijai bana, kwa viongozi wa chadema "" deal done "" Ni nyama choma kwa kwenda mbele.
 
Sasa hawa chadema nao ni watu kiki kweli. Asa hapo si watoe hiyo au wahamishe kwenye account ingine mambo yaende.
 
Katika maisha kuna yasiyotarajiwa, (uncertainty), ambayo asilimia kubwa husababishwa na binadamu

Binadamu hujisabishia changamoto kwa ujinga, ushamba wivu upumbavu, ulevi, uoga, pia huwasabishia wengine changamoto kwa makusudi ama kwa bahati mbaya

Hitimisho binadamu akipata changamoto huamsha ubongo na anapokuwa katika muamsho huo hukutana na ubunifu kumbe binadamu ukimsababishia changamoto anaweza akakuzidi kete baada ya kukutana na ubunifu
 
Watu wengi wameeleza kushindwa kuichangia CHADEMA kupitia mtandao wa Mpesa/Vodacom.

Baadhi ya waliojaribu kuwasiliana na Vodacom huduma kwawateja, wameambiwa kuwa eti akaunti hiyo ya CHADEMA imejaa pesa, na hivyo haiwezi kupokea hela zaidi. Wakati kwenye makubaliano kati ya CHADEMA na Vodacom, akaunti hiyo ya CHADEMA, haina ukomo wa kupokea pesa.

Hivyo kushindwa kupokelewa pesa kutoka kwa wadau wa CHADEMA inaonekana ni mpango uliosukwa kati ya Vodacom na mahasimu wa CHADEMA, kwa nia ya kuihujumu CHADEMA.

Kweli CCM ni chama cha uharibifu wa kila eneo!!!

Muda si mrefu, viongozi wa CHADEMA watatoa tamko kuhusiana na uharamia huu wa kampuni ya Vodacom.

View attachment 3254909
Kumbe chawa wa mom wako mpaka voda😂😂😂😭
 
Wewe hujui kitu kichwani uko mweupeee

Ungemuuliza hata wakala tu wa Mpesa popote angekujibu hilo

Kuliko kuja kuandika huu upumbavu wako hapa
Povu na matusi ya nini sasa mbona hasira sana.
Haya tuwekee ujuaji wako basi bila matusi.
 
MAKADA WA CCM wapo kila mahali, Jeshini, Vodacom na kwenye mitandao yote. CCM must go.
 
PALE UNAPOSHINDANA MBIO NA MTU ULIYEMFUNGA KAMBA MIGUUNI...ALAFU UNAMWAMBIA TUSHINDANE KUKIMBIA.
 
Financial institutions zote huwa zina daily limit; Inawezekana kuwa daily limit yao imefika hivyo ni lazima usubiri kesho yake.
 
MAKADA WA CCM wapo kila mahali, Jeshini, Vodacom na kwenye mitandao yote. CCM must go.
Tatizo la Chadema asilimia kubwa malofa na hawana uelewa wa kinachoendelea nchini

Hivi unajua wamiliki wa Vodacom ni nani? Lofa mkubwa wewe

Kama hujui ni inamilikiwa na mamilioni ya watanzania walionunua hisa zao Vodacom wenye vyama na wasio na vyama nikiwemo mimi nina hisa Vodacom

Kushambulia vodacom na kuidhalillisha ni kudhalilisha wanahisa mamilioni wenye kampuni yao

Mjiandae kukosa kura kutoka kwa wanahisa wa Vodacom uchaguzi mkuu

Lofa wewe unajua hata soko.la hisa wewe?
 
Back
Top Bottom