Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Inategemea mlikuwa Tier gani ya kupokea pesa. Kama mlichagua Tier 1 kikomo chake ni milioni kumi. Sasa mnalalamikia nini!? Ahahahahaha!!Wewe kweli punguani!!
Ina maana hujaona hata hiyo meseji ya vodacom? Hilo sawali la kipuuzi waulize vodacom ili wakuambie kwa nini wanasema account imejaa pesa, haiwezi kupokea zaidi wakati Lisu hana uwezo wa kuchangisha pesa!!
Upunguani siyo sifa ya kuionea fahari. Kwa nini unatamba na upunguani wako?