Kama wanaminya njia zote za kidemokrasia za kufanya siasa basi njia mbadala may be ndo suluhisho
Lazma kisasi kitakuwa kikali zaidi ya DOGE. Nchi itapona kwa muda kabla ya mambo kuparanganyika tena baada ya rushwa nzito nzito kutembezwa kwa mawakala wa serikali.Kisasi kama hicho ni hatari kwa ustawi wa taifa.
Chawa wako kila kona na wazee wa kaunda suti aka Maelekezo wako mpaka huko Vodacom na wanajua wanachotakiwa kukifanya kupitia maagizo toka juu.Kumbe chawa wa mom wako mpaka voda😂😂😂😭
Kwani hiyo message imetoka CDM, si imetoka VODA?Propaganda za kipuuzi kabisa hizi. Kama akaunti imejaa pesa tuonesheni ni shilingi ngapi zimo humo! Lissu HANA ubavu wa kuchangisha zaidi ya milioni kumi. Ushahidi ni michango ya gari lake.
Wafungue akaunti zaidi ya moja, ikijaa hii, unatuma kwenye akaunti nyingineWatu wengi wameeleza kushindwa kuichangia CHADEMA kupitia mtandao wa Mpesa/Vodacom.
Baadhi ya waliojaribu kuwasiliana na Vodacom huduma kwawateja, wameambiwa kuwa eti akaunti hiyo ya CHADEMA imejaa pesa, na hivyo haiwezi kupokea hela zaidi. Wakati kwenye makubaliano kati ya CHADEMA na Vodacom, akaunti hiyo ya CHADEMA, haina ukomo wa kupokea pesa.
Hivyo kushindwa kupokelewa pesa kutoka kwa wadau wa CHADEMA inaonekana ni mpango uliosukwa kati ya Vodacom na mahasimu wa CHADEMA, kwa nia ya kuihujumu CHADEMA.
Kweli CCM ni chama cha uharibifu wa kila eneo!!!
Muda si mrefu, viongozi wa CHADEMA watatoa tamko kuhusiana na uharamia huu wa kampuni ya Vodacom.
View attachment 3254909
Pia soma: Vodacom yatolea ufafanuzi Malalamiko ya Ukomo wa Kupokea pesa kupitia huduma ya Mpesa
Hapo umeshajiona umeandika point. Mpuuzi sana wewe.Hivi ni tangu lini bank huwa inasema imejaa mapesa na haitaki tena watu waendelee kuyaweka? Hiyo Vodacom ni kama bank ( ya mtandao) sasa inaposema kwamba account imejaa, malimbikizo ni shilingi ngapi ? utopolo mtupu...
Hawa jamaa huwa ni wendawazimu.Nyie CHADEMA si mliwaambiaga Wafuasi wenu wavunje laini za Voda? Sasa imekuwaje mnaanza kulialia ? Kwa hiyo kumbe mlikuwa mnawalaghai ili wapoteze mawasiliano? Acheni unyumbu .
Mjinga mmoja wewe. Umeambiwa pesa ya chadema na kampuni ya vodacom .LISU ameingiaje hapa. Haya one mkubwa wewe.Propaganda za kipuuzi kabisa hizi. Kama akaunti imejaa pesa tuonesheni ni shilingi ngapi zimo humo! Lissu HANA ubavu wa kuchangisha zaidi ya milioni kumi. Ushahidi ni michango ya gari lake.
Siwezi shangaa kwa hili!
Kama ukumbi tu walifanyiwa figisu na kule alipokwenda kiongozi wa Chadema Toka Zenji mkutano ulizuiwa kwa mtutu wa mabunduki
Hivyo hili si ajabu kabisa
Wahasibu wao dio bogus, kama imejaa si mnatoa au kuhamisha kwenda bank within seconds tu?? Mbona kama propaganda? Vodacom wajibu hili officially kuondoa sintofahamu! Tutaona mengi bado..
Wanaochanga wanafanya hivyo kwa hiari yao.Serikali ipitishe sheria ya kuzuia vyama vya siasa kuchangisha hela
Chini ya sheria ipi ndugu? Fedha haziwekwi hovyo kwenye account bila kufuata sheria.Mbona wewe ndiye unaonekana mpuuzi!! Hujibu hoja, unabakia kuropoka.
A counts zote za fedha kwenye mitandao huwa kuna makubaliano kati ya mtandao na mteja.
Una uelewa wowote wa masuala ya akaunti za M Pesa za Vodacom?Nadla
Hujui ulichohamaki na kujibu. Hawajasema Lissu amekusanya nini, wamesema mfumo umechezewa
Nina hakika umehamaki kujibu kisichoelezwa na mtoa mada. Ama hujamuelewa au chuki zako. Hawajasema chochote kuhusu Lissu au kiwango kilichochangiwa. Wamelalamikia hujuma Account kugoma kupokea pesa kwa kisingizio cha Account kujaa pesa. Hata mimi ningejiuliza, kwani Account zingine zimewahi kukataa pesa kwa kisingizio kama hicho? Hatukosei kusema ni hujuma za kitoto japo zitawakwamisha hao Chadema.
Una uhakika?Inaelekea haujaelewa somo