Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Inategemea mlikuwa Tier gani ya kupokea pesa. Kama mlichagua Tier 1 kikomo chake ni milioni kumi. Sasa mnalalamikia nini!? Ahahahahaha!!Wewe kweli punguani!!
Ina maana hujaona hata hiyo meseji ya vodacom? Hilo sawali la kipuuzi waulize vodacom ili wakuambie kwa nini wanasema account imejaa pesa, haiwezi kupokea zaidi wakati Lisu hana uwezo wa kuchangisha pesa!!
Upunguani siyo sifa ya kuionea fahari. Kwa nini unatamba na upunguani wako?
Kwa hiyo wewe lengo lako hapa ni lipi, kuwatisha watu ili "wapinzani wasipewe nchi"?Siku upinzani ukishika nchi kuna makampuni na vyombo vya habari vitakuwa kwenye hali ngumu sana.
Hili linaweza kuwa ndiyo jibu sahihi.chadema ndio wamekosa umakini kuziamisha fedha kwenda bank voda hawanashida na chadema
"Limitless", haiwezekani.Soma juu vizuri kuhusu makubaliano yao. Umeambiwa ni limitless ac
Sidhani kuwa ni hivyo inavyo dhaniwa!Inafikirisha sana
Sasa kama ni mil 10, Account hiyo ni vikoba au ? Hata harusi Account yake yaweza kuzidi mil 💯. Na sisi CCM account zetu zina ukomo ?"Limitless", haiwezekani.
Haya makampuni yanafanya kazi zao kufuatana na sheria zinavyo ruhusu.
Hakuna sheria inayo ruhusu akaunti yenye 'limitless'.
Walicho/wanacho takiwa CHADEMA ni kuhamisha hizo pesa expeditiously' ili zisizidi kiasi cha pesa kinacho ruhusiwa kwenye akaunti hiyo.
Jaribu kuelewa tofauti zilizopo kati ya Benki na Kampuni hizo za mawasiliano kuhusu maswala ya akaunti za pesa.S
Sasa kama ni mil 10, Account hiyo ni vikoba au ? Hata harusi Account yake yaweza kuzidi mil 💯. Na sisi CCM account zetu zina ukomo ?