Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Wakuu habari,
Leo tumeona bei mpya za mafuta zikipanda, na sababu tunajua tutaambiwa kuwa ni mabadiliko kwenye soko la Dunia.
Lakini trend kwenye soko la dunia inaonyesha bei za mafuta zimekuwa zikishuka miezi ya karibuni, bei zilikuwa zimefika hadi Dola 124 kwa pipa mwezi Februari lakini tangia juni bei zilikuwa zinashuka na hadi sasa ni Dola 94 Serikali inatumia kikokotoo gani?
Nimeweka hiyo chart hapo chini ambayo inaonyesha mafuta yalikuwa ghali zaidi kwenye mwezi Februari na Machi yakifika hadi Dola 124 kwa pipa.
Lakini tangu mwezi Juni yalikuwa kwenye Dola 103 na yamekuwa yakishuka na hadi kufikia hata chini ya Dola 94 siku za karibuni.
Iweje TZ yanazidi kupanda kila mwezi?
Au basi yabaki hata bei ileile angalau?
Au haya mafuta yatakayouzwa kesho kwa bei mpya ambayo ndiyo ya juu zaidi kutokea yaliagizwa lini kwa bei gani?