Ya kipada leo effect huonekana liniActually effect itaonekana mwezi October au November!
Siyo haraka kiasi hicho..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya kipada leo effect huonekana liniActually effect itaonekana mwezi October au November!
Siyo haraka kiasi hicho..
Johnny Sack,Wakuu habari,
Leo tumeona bei mpya za mafuta zikipanda, na sababu tunajua tutaambiwa kuwa ni mabadiliko kwenye soko la dunia.
Lakini trend kwenye soko la dunia inaonyesha bei za mafuta zimekuwa zikishuka siku za karibuni, bei zilikuwa zimefika hadi dola 124 kwa pipa miezi michache nyuma lakini hivi sasa ni dola 98 Serikali inatumia kikokotoo gani?
Nimeweks hiyo chart hapo chini ambayo inaonyesha mafuta yalikuwa ghali zaidi kwenye mwezi Februari na Machi yakifika hadi dola 124 kwa pipa.
Lakini tangu mwezi Juni yalikua kwenye dola 103 na yamekuwa yakishuka na hadi kufikia hata chini ya dola 94 siku za karibuni.
Iweje TZ yanazidi kupanda kila mwezi?
Au basi yabaki hata bei ileile angalau?
Au haya mafuta yatakayouzwa kesho kwa bei mpya ambayo ndiyo ya juu zaidi kutokea yaliagizwa lini kwa bei gani?
View attachment 2312442
Great GT...huko Bungeni ni tatizo kubwa sana.....Wakuu habari,

Yameanza kushuka toka mwezi June, ilipaswa effect ionekane sasa. Bei kwa Pipa la mafuta mwezi June ni sawa na mwezi april, Ila ndio kwanza inapandaActually effect itaonekana mwezi October au November!
Siyo haraka kiasi hicho..
Hiyo bei kwa pipa ni mafuta ghafi mkuu sio haya unayoweka kwenye Gari.Yameanza kushuka toka mwezi June, ilipaswa effect ionekane sasa. Bei kwa Pipa la mafuta mwezi June ni sawa na mwezi april, Ila ndio kwanza inapanda
Naelewa, bei ya mafuta ghafi ikiwa chini na hata haya ya kwenye gari yatakuwa chini. Bei ya mafuta ghafi ikiwa juu na ya kwenye gari pia yatakua juu.Hiyo bei kwa pipa ni mafuta ghafi mkuu sio haya unayoweka kwenye Gari.
Haya yaliyopanda yaliagizwa mwezi gani maana toka mwezi june mafuta yanashuka huko dunianiUsafirishaji wa mafuta sio kama PEDI mkuu, mafuta usafirishaji wake ni very technical na unachukua muda mrefu kufika sehemu husika hasa ukanda wetu huu.
Kama mafuta yameshuka soko la dunia basi effect utaanza kuiona mwezi ujao na sio huu kwani Shehena ya mwezi ujao ndio inafungwa mwezi huu.
Tumia akili yako vizuri, na acha kukurupuka kama POPOMA.
Kabla ya kuwa haya yanayowekwa kwenye garo yalikuwa ghafiHiyo bei kwa pipa ni mafuta ghafi mkuu sio haya unayoweka kwenye Gari.
Achana na hilo taahira chawa na huyu mama ushungi! They are stupid they can't see!Ya kipada leo effect huonekana lini
Sio kweli kabisaUsafirishaji wa mafuta sio kama PEDI mkuu, mafuta usafirishaji wake ni very technical na unachukua muda mrefu kufika sehemu husika hasa ukanda wetu huu.
Kama mafuta yameshuka soko la dunia basi effect utaanza kuiona mwezi ujao na sio huu kwani Shehena ya mwezi ujao ndio inafungwa mwezi huu.
Tumia akili yako vizuri, na acha kukurupuka kama POPOMA.
Mkuu unalamba asali kutokea wapi?Usafirishaji wa mafuta sio kama PEDI mkuu, mafuta usafirishaji wake ni very technical na unachukua muda mrefu kufika sehemu husika hasa ukanda wetu huu.
Kama mafuta yameshuka soko la dunia basi effect utaanza kuiona mwezi ujao na sio huu kwani Shehena ya mwezi ujao ndio inafungwa mwezi huu.
Tumia akili yako vizuri, na acha kukurupuka kama POPOMA.
kama kwenye soko la dunia bei ya mafuta imekuwa ikishuka ilipaswa effect ionekane taratibu ila kumkaripia mtu anaesema ukweli haisaidii!!!Usafirishaji wa mafuta sio kama PEDI mkuu, mafuta usafirishaji wake ni very technical na unachukua muda mrefu kufika sehemu husika hasa ukanda wetu huu.
Kama mafuta yameshuka soko la dunia basi effect utaanza kuiona mwezi ujao na sio huu kwani Shehena ya mwezi ujao ndio inafungwa mwezi huu.
Tumia akili yako vizuri, na acha kukurupuka kama POPOMA.