Inakuaje bei za mafuta kwenye soko la dunia zinashuka ila Tanzania zinazidi kupanda?

Johnny Sack,
Asante sana kutuhabarisha. Hata Mimi binafsi nimekuwa nafuatilia sana ni kweli bei imeanza kushuka na vituo vingi vya mafuta vimeshusha bei tayari.
Mfano Amerika , Uholanzi nimeona bei pia tofauti na hapo Nyumba.
Tanzania nadhani kuna mahali hapoko sawa kabisa hatuwezi kuendelea kuwapiga wananchi kihivi! Wahusika fanyeni haraka kubalance hizi bei. Acheni Tozo!!!
 
Great GT...huko Bungeni ni tatizo kubwa sana.....
 
Hiyo bei kwa pipa ni mafuta ghafi mkuu sio haya unayoweka kwenye Gari.
Naelewa, bei ya mafuta ghafi ikiwa chini na hata haya ya kwenye gari yatakuwa chini. Bei ya mafuta ghafi ikiwa juu na ya kwenye gari pia yatakua juu.
Refine cost ipo constant, au unataka kusema refine cost imeongezeka alafu crude oil imepungua? Hata hivyo nakuhakikishia refine cost haikuongezeka ilikuwa constant
 
Haya yaliyopanda yaliagizwa mwezi gani maana toka mwezi june mafuta yanashuka huko duniani
 
Sio kweli kabisa
 
Mkuu unalamba asali kutokea wapi?
 
kama kwenye soko la dunia bei ya mafuta imekuwa ikishuka ilipaswa effect ionekane taratibu ila kumkaripia mtu anaesema ukweli haisaidii!!!

inahitajika Bwana February atupe maelezo kwanini huko dunia zilizoendelea bei ya mafuta inashuka na huku kwetu kulikojaa mawaziri mizigo wanapandisha bei , dunia ni kijiji kwasasa huwezi kumficha mtu yanayoendelea kwingineko duniani

Kwa lugha rahisi serikali hii haifai kwanini inabariki wananchi kuibiwa pesa zao kupitia kuuziwa mafuta kwa bei ya juu mafuta yanayonunuliwa kwa bei ya chini kabisa huko nje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…