Inakuaje bei za mafuta kwenye soko la dunia zinashuka ila Tanzania zinazidi kupanda?

Nilitaka nikupe moja hiyo Sema ungeenda kujinyonga kwa stress acha nikae kimya
 
VITUO vya MAFUTA ni vya Wenye NCHI wanapanga BEI waitakayo na hamna cha Kuwafanya CCM OYEE
 
Unajua wakati mwingine sio lazima utoe hoja kwa kufoka na kutaka kuonekana unajua sana, lakini pia unapoamua kutetea kila kitu kuna sehemu ni lazima utaonekana wa ajabu tu.

Okay nakubali mafuta hayaagizwi kama pedi na umekubali kuwa kwenye soko la dunia yameshuka bei, katika hali ya kawaida hatutegemei haya yaliyopo bohari kushuka kwakua yalinunuliwa kwa bei kubwa (wakati ambayo bei ilikuwa kubwa huko duniani), kwahiyo tukisema yashushwe ni lazima hasara iwepo.

Hoja ni kwanini haya yaliyopo bohari tayari, yapande bei??? Tulitegemea bei ibaki static wakati tunasubiri yale mengine ambayo yatakuja (yaliyonunuliwa bei ndogo), ili bei ishuke, badala yake mafuta yanapanda bei, kilichofanya haya mafuta yapande ni nini kitaalamu??

Sijaona sababu ya wewe kumtukana huyo uliyemquote, hata kama unampenda huyo mama yako at some extent jaribu kuwa na reasoning.
 
Endelea kujidanganya kwa kujificha kwenye sababu za kitoto za shehena
Huyo jamaa kuna namna huwa anataka ajikute anajua kila kitu na kukashifu wenzake, kumbe ni debe tupu.

Si ajau hana hata chombo cha moto, au kama anacho basi ni PASSO, VITZ au IST.
 
Mafuta hayajaanza kushuka jana wewe, bei za last month should be reflected this month ila ndo hivyo.
Yakishuka unaambiwa effect yake ni miezi miwili mbele ila yakipanda leo huko duniani, bei zinapanda hapohapo bila kujali maswala ya shehena wala nini.

Mimi huwa nawashangaa wanaojaribu kumtetea huyu dada, hii nchi imemshinda.
 
Kwa nini yakipanda huko duniani yanapozalishwa na hapa yanapanda ndani ya muda mfupi sana?1?
 
Huu ujinga tafuta wajinga wa kuwaambia. Mafuta yakipanda Bei huko mnakokuita dunia, haraka sana na huku kwetu yanapanda. Kwa Nini yakishuka huko na huku hayashuki!?

Hapa suala Ni moja tu. Wahuni ndio wanaendesha nchi kwa Sasa. Tumepoteza serikali kwa wapiga dili.
 
WAFANYA BIASHARA WA MAFUTA SAHIVI WAMEDHAMIRIA KUFANYA
BIASHARA YA MAFUTA,HUU NI MKAKATI MAALUM

ONA TU SAHVI VITUO VYA MAFUTA
VINAVYOANZISHWA

ova
 
Yameshuka miezi miwili mfululizo kaka
Stats hazidanganyi
 
Nilijua kuna zezeta atakuja na hii excuse tu
Kama mafuta yanachukua mwezi kusafirishwa basi inamaanisha haya ya mwezi wa 8 yaliagizwa mwezi wa 7
Lakini ukiangalia mwezi wa 7 pia maguta yalikuwa yameshaanza kushuka yalikuwa chini kuliko bei za Februari, Machi na Aprili, so inakuwaje mafuta yana trend ya kupanda tu wakati duniani hali sio hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…