Inakuaje bei za mafuta kwenye soko la dunia zinashuka ila Tanzania zinazidi kupanda?

WAFANYA BIASHARA WA MAFUTA SAHIVI WAMEDHAMIRIA KUFANYA
BIASHARA YA MAFUTA,HUU NI MKAKATI MAALUM

ONA TU SAHVI VITUO VYA MAFUTA
VINAVYOANZISHWA

ova
Hapa ndipo pesa za kugharamia rushwa kwa wananchi wajinga 2025 zitakapopatikana.
 
Hapa hutumika mfumo wa udanganyifu! Watakuambia mafuta yaliagizwa wakati bei ya mafuta kwenye soko la dunia ilipokuwa juu! Lakini hatujawahi kuona bei duniani ikiwa imepanda sisi tuuziwe kwa bei rahisi kwa sababu mafuta yaliagizwa wakati bei ya mafuta kwenye soko la dunia ilipokuwa chini! wizi mtupu
 
Unawezakukuta maza na yeye ndio anapata taarifa humu. Maza kama maza hivi vitu vikubwa sana kwake
 
Kama tunatawaliwa na viongozi waongo.
 
bei zimeshuka kiasi uko duniani, Baaya ya wazugu kususia mafuta ya Mrusi, Saudia ndie anasupply mafuta bara Ulaya kwa asilimia kubwa ana amelikataa soko la Afrika kwa kiwango flani ambaop ndio tulikuwa wateja wake wakubwa.

Hata kupata meli kuleta mafuta Afrika ni changamoto, meli zpte zinataka routes za Ulaya kwanza zina maslahi na bandari zao hazina urasimu utakao wapa hasara kama hizi za kwetu
 
Maisha yakipanda hakikisha na wewe unapanda thamani kuliko maisha, tengeneza pesa-wekeza pesa-tumia pesa hii ndio kanuni itakayokusaidia kuacha kulalamika kila wakati mambo yanapokuja tofauti na ulivyotarajia na kuzoea, bongo mtaumia sana maana ni nchi inayoendeshwa na familia chache zenye tamaa ya kumiliki vitu na watu.
 
Mimi najiweza,silalamiki kuhusu mimi, nasema kwa kuwa najus inaathiri maisha ya wengi
 
Na ww ndo kichwa maji hasa kwann yapande
 
Wizi wa kura ulituletea watu wa hovyo hovyo mwaka 2020.
 
Wanarudisha Uchumi wao uliopotezwa na awamu ya 5, acha watukamue to
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…