Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
- Thread starter
- #141
Hapa hatutetei mambo binafsi, bei ya mafuta inaathiri hata wasiokuwa na magariMKIAMBIWA,PAKINI VYOMBO VYENU
VYA MOTO HAMSIKI..
ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa hatutetei mambo binafsi, bei ya mafuta inaathiri hata wasiokuwa na magariMKIAMBIWA,PAKINI VYOMBO VYENU
VYA MOTO HAMSIKI..
ova
Hapa ndipo pesa za kugharamia rushwa kwa wananchi wajinga 2025 zitakapopatikana.WAFANYA BIASHARA WA MAFUTA SAHIVI WAMEDHAMIRIA KUFANYA
BIASHARA YA MAFUTA,HUU NI MKAKATI MAALUM
ONA TU SAHVI VITUO VYA MAFUTA
VINAVYOANZISHWA
ova
Dhalimu atajulikana tu kama c wewe anaweza kuwa huyo bi chakubangaWacha tu mafuta yapande bei kuliko kutawaliwa na kiongozi dhalimu.
Wacha tu mafuta yapande bei kuliko kutawaliwa na kiongozi dhalimu.
Unajielwa wewe kweli?
.Tulia mfuasi wa dhalimu bei zipande.anayekukaza ndio kakusababishia madhara haya.
Wakuu habari,
Leo tumeona bei mpya za mafuta zikipanda, na sababu tunajua tutaambiwa kuwa ni mabadiliko kwenye soko la Dunia.
Lakini trend kwenye soko la dunia inaonyesha bei za mafuta zimekuwa zikishuka miezi ya karibuni, bei zilikuwa zimefika hadi Dola 124 kwa pipa mwezi Februari lakini tangia juni bei zilikuwa zinashuka na hadi sasa ni Dola 94 Serikali inatumia kikokotoo gani?
Nimeweka hiyo chart hapo chini ambayo inaonyesha mafuta yalikuwa ghali zaidi kwenye mwezi Februari na Machi yakifika hadi Dola 124 kwa pipa.
Lakini tangu mwezi Juni yalikuwa kwenye Dola 103 na yamekuwa yakishuka na hadi kufikia hata chini ya Dola 94 siku za karibuni.
Iweje TZ yanazidi kupanda kila mwezi?
Au basi yabaki hata bei ileile angalau?
Au haya mafuta yatakayouzwa kesho kwa bei mpya ambayo ndiyo ya juu zaidi kutokea yaliagizwa lini kwa bei gani?
View attachment 2312674
View attachment 2312748
bei zimeshuka kiasi uko duniani, Baaya ya wazugu kususia mafuta ya Mrusi, Saudia ndie anasupply mafuta bara Ulaya kwa asilimia kubwa ana amelikataa soko la Afrika kwa kiwango flani ambaop ndio tulikuwa wateja wake wakubwa.Wakuu habari,
Leo tumeona bei mpya za mafuta zikipanda, na sababu tunajua tutaambiwa kuwa ni mabadiliko kwenye soko la Dunia.
Lakini trend kwenye soko la dunia inaonyesha bei za mafuta zimekuwa zikishuka miezi ya karibuni, bei zilikuwa zimefika hadi Dola 124 kwa pipa mwezi Februari lakini tangia juni bei zilikuwa zinashuka na hadi sasa ni Dola 94 Serikali inatumia kikokotoo gani?
Nimeweka hiyo chart hapo chini ambayo inaonyesha mafuta yalikuwa ghali zaidi kwenye mwezi Februari na Machi yakifika hadi Dola 124 kwa pipa.
Lakini tangu mwezi Juni yalikuwa kwenye Dola 103 na yamekuwa yakishuka na hadi kufikia hata chini ya Dola 94 siku za karibuni.
Iweje TZ yanazidi kupanda kila mwezi?
Au basi yabaki hata bei ileile angalau?
Au haya mafuta yatakayouzwa kesho kwa bei mpya ambayo ndiyo ya juu zaidi kutokea yaliagizwa lini kwa bei gani?
View attachment 2312674
View attachment 2312748
Ndo maana yake...Yaani sasa hivi ukipita huku barabarani unaokota tu hela!
Tunataka majibuUnawezakukuta maza na yeye ndio anapata taarifa humu. Maza kama maza hivi vitu vikubwa sana kwake
Maisha yakipanda hakikisha na wewe unapanda thamani kuliko maisha, tengeneza pesa-wekeza pesa-tumia pesa hii ndio kanuni itakayokusaidia kuacha kulalamika kila wakati mambo yanapokuja tofauti na ulivyotarajia na kuzoea, bongo mtaumia sana maana ni nchi inayoendeshwa na familia chache zenye tamaa ya kumiliki vitu na watu.Wakuu habari,
Leo tumeona bei mpya za mafuta zikipanda, na sababu tunajua tutaambiwa kuwa ni mabadiliko kwenye soko la Dunia.
Lakini trend kwenye soko la dunia inaonyesha bei za mafuta zimekuwa zikishuka miezi ya karibuni, bei zilikuwa zimefika hadi Dola 124 kwa pipa mwezi Februari lakini tangia juni bei zilikuwa zinashuka na hadi sasa ni Dola 94 Serikali inatumia kikokotoo gani?
Nimeweka hiyo chart hapo chini ambayo inaonyesha mafuta yalikuwa ghali zaidi kwenye mwezi Februari na Machi yakifika hadi Dola 124 kwa pipa.
Lakini tangu mwezi Juni yalikuwa kwenye Dola 103 na yamekuwa yakishuka na hadi kufikia hata chini ya Dola 94 siku za karibuni.
Iweje TZ yanazidi kupanda kila mwezi?
Au basi yabaki hata bei ileile angalau?
Au haya mafuta yatakayouzwa kesho kwa bei mpya ambayo ndiyo ya juu zaidi kutokea yaliagizwa lini kwa bei gani?
View attachment 2312674
View attachment 2312748
Mimi najiweza,silalamiki kuhusu mimi, nasema kwa kuwa najus inaathiri maisha ya wengiMaisha yakipanda hakikisha na wewe unapanda thamani kuliko maisha, tengeneza pesa-wekeza pesa-tumia pesa hii ndio kanuni itakayokusaidia kuacha kulalamika kila wakati mambo yanapokuja tofauti na ulivyotarajia na kuzoea, bongo mtaumia sana maana ni nchi inayoendeshwa na familia chache zenye tamaa ya kumiliki vitu na watu.
Muulize hangaya!
Wewe si ndio chawa lake?
Point kubwa mkuu sema kama hawalioniRais anabidi kuwa makini maana ugumu wa maisha utafanya usalama wa nchi kuwa mdogo.
Na ww ndo kichwa maji hasa kwann yapandeUsafirishaji wa mafuta sio kama PEDI mkuu, mafuta usafirishaji wake ni very technical na unachukua muda mrefu kufika sehemu husika hasa ukanda wetu huu.
Kama mafuta yameshuka soko la dunia basi effect utaanza kuiona mwezi ujao na sio huu kwani Shehena ya mwezi ujao ndio inafungwa mwezi huu.
Tumia akili yako vizuri, na acha kukurupuka kama POPOMA.
Wanaliona sana ila linapuuzwa ipo siku watarejea mafaili yao.Point kubwa mkuu sema kama hawalioni
Wanarudisha Uchumi wao uliopotezwa na awamu ya 5, acha watukamue toWakuu habari,