Abdul Said Naumanga
JF-Expert Member
- Jan 28, 2024
- 673
- 1,318
Habari za asubuhi wana jamvi, bila kupoteza muda twende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.
Najua wengi mtakua mashuhuda wa mada tajwa hapo juu. Binafsi ni zaidi ya mara moja nakutana na gari new model kabisa, mfano leo nimekutana na Prado 2020 lakini chaajabu plate namba yake inasoma A.
Ivi hii imekaaje wadau🤔?