Inakuaje gari la mwaka 2020 au zaidi linakuwa na Plate namba “A”?

Inakuaje gari la mwaka 2020 au zaidi linakuwa na Plate namba “A”?

Wataalam naomba kuulizia.

Ivi zile gari za serikali zinazopataga ajali na zinatelekezwa Kwa nini tusiuziwe hata kwa bei ndogo tukatengeneze kuliko ziozee nje.

Manake zingine zinahitaji matengenezo kidogo tuu.
Nawasilisha.
 
Habari za asubuhi wana jamvi, bila kupoteza muda twende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.

Najua wengi mtakua mashuhuda wa mada tajwa hapo juu. Binafsi ni zaidi ya mara moja nakutana na gari new model kabisa, mfano leo nimekutana na Prado 2020 lakini chaajabu plate namba yake inasoma A.

Ivi hii imekaaje wadau🤔?

View attachment 3050570
Wasiojulikana
 
Kuna jirani yangu wa Kaunda suti nilimuuliza Kwa Nini namba ya zamani gari jipya?akasema wakifanya lisualization wanaweka chap namba halisi ili kuudanganya umma.Nikasema kumbe ni majambazi yaliyohalalishwa na serikali?
 
Lisualization ndio nn mkuu
 
Kuna jirani yangu wa Kaunda suti nilimuuliza Kwa Nini namba ya zamani gari jipya?akasema wakifanya lisualization wanaweka chap namba halisi ili kuudanganya umma.Nikasema kumbe ni majambazi yaliyohalalishwa na serikali?
Duuuh, hii ni baraa
 
Jichanganyee uikwarue rangii japo kidogooo..!
 
Habari za asubuhi wana jamvi, bila kupoteza muda twende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.

Najua wengi mtakua mashuhuda wa mada tajwa hapo juu. Binafsi ni zaidi ya mara moja nakutana na gari new model kabisa, mfano leo nimekutana na Prado 2020 lakini chaajabu plate namba yake inasoma A.

Ivi hii imekaaje wadau🤔?

View attachment 3050570
Ni TISS kwa sasa wamechoka kusema " unajua mimi ni nani" Sasa ni staili ya SURPRISE. Ukishaona ujiulize mwenyewe.
 
Hakuna gari ya 2020 hapo hiyo ni ya muda wameweka vitu vya gari ya miaka hii sijui mnaita kupimp maana kioo cha hiyo gari ni kidogo tofauti na ya kisasa hata hayo matakataka yaliyowekwa yanang'aa sana tofauti na gari yenyewe inavyoonekana..
 
Migongo ya Bonet pia ipo tofauti mchina mtundu ila ukiweza kumkagua haupati tabu...tafuta gari yenyewe kama hiyo uone kama itaonekana hivyo..
 
Namba ni namba tu.(Registration)

Hao waliokuwa kwenye mfumo washapewa namba zao, gari likifa, wana register tu gari nyingine kwa namba hiyo hiyo.

Na hata wakijulikana, tatizo lipo wapi?

Mihogo yangu ipo wapi ninywe chai kwanza.
Kwahiyo hata Mimi nisiye na gari naruhusiwa kuchukua namba yangu nikaa nayo kusubiri gari
 
Back
Top Bottom