Inakuaje gari la mwaka 2020 au zaidi linakuwa na Plate namba “A”?

Inakuaje gari la mwaka 2020 au zaidi linakuwa na Plate namba “A”?

Hapo ndipo akili za wana intelijensia wetu ilipofikia. Zamani walikuwa wanaweka namba juu ya namba na zinashikiliwa na rubber bend.
hata hiyo picha ya kwanza hapo kuna slot ya kuchomekea na kuchomoa namba.
 
Izo ua n namba za kaz maalum uez peleka gar garaj letsay Toyota pale ikiwa na namba ya ikulu au ya wazir kwa kila taasis ua ina izo tunaita vibat kwaajil ya kutembelea na sio usajil halis wa gar na in case imetokea ajar ukiiserch iyo namba inakuonyesha gar n ya taasis gan
Nani kakudanganya inaonyesha ya taasis fulani.

Kuna moja iligongaga mwendesha baskeli ikachimba jamaa kwenye kusearch TRA namba inasoma passo
 
Alaf watu wanasema ni gari ya zamani ila imefanyiwa facelift. Ndugu yangu Watu8 vip na picha ya apo juu (yakwanza) nayo unaitetea vipi mkuu?🤔​

Hiyo wengine washaiongelea, sikuwa na sababu ya kurudia maelezo...

Wanausalama, viongozi wakipitishwa kwa siri n.k huwa wanabadili hizo namba...
 
Wanausalama, viongozi wakipitishwa kwa siri n.k huwa wanabadili hizo namba
Kuna haja gani ya viongozi kupitishwa kwa siri katika nchi yenye amani kama Tanzania?🤔 mbali na hilo kwanini TRA wanaruhusu gari moja liwe na namba mbili za usajili ambazo ni tofauti?​
 

Angalia plate number za hiyo gari​
 
Back
Top Bottom