Inakuaje gari la mwaka 2020 au zaidi linakuwa na Plate namba “A”?

Abdul Said Naumanga

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2024
Posts
673
Reaction score
1,318

Habari za asubuhi wana jamvi, bila kupoteza muda twende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.

Najua wengi mtakua mashuhuda wa mada tajwa hapo juu. Binafsi ni zaidi ya mara moja nakutana na gari new model kabisa, mfano leo nimekutana na Prado 2020 lakini chaajabu plate namba yake inasoma A.

Ivi hii imekaaje wadau🤔?

 
Izo ua n namba za kaz maalum uez peleka gar garaj letsay Toyota pale ikiwa na namba ya ikulu au ya wazir kwa kila taasis ua ina izo tunaita vibat kwaajil ya kutembelea na sio usajil halis wa gar na in case imetokea ajar ukiiserch iyo namba inakuonyesha gar n ya taasis gan
 
Kwani number si zipo kwenye mfumo wewe unachagua tu.
 



Walinunua plate number kabla ya gari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…