Inakuaje gari la mwaka 2020 au zaidi linakuwa na Plate namba β€œA”?

Zinakuwa za uwizi zimeibiwa zambia huko wazembe sana
 
Nikiwa pale udom nimekaa jion naotea jua v8 lilikuja karibu na usawa nilipo kijana akashuka akiwa na plate number mkononi mbili akazichomeka kuziba number za serikali na kisha kuondoka kwa kasi na kutokomea njia ya asha rose migiro
 
Hapo ndipo akili za wana intelijensia wetu ilipofikia. Zamani walikuwa wanaweka namba juu ya namba na zinashikiliwa na rubber bend.
Inashangaza sana. Katika hali ya kawaida, mtu atang'amua tu kwamba hili gari namba zake siyo hizo. Au wenyewe wanajua wananchi ni washamba tu!
 
Inashangaza sana. Katika hali ya kawaida, mtu atang'amua tu kwamba hili gari namba zake siyo hizo. Au wenyewe wanajua wananchi ni washamba tu!
Hizi ni gari za TISS, Ofisi ya Raisi na Ofisi ya Makamu wa Raisi. Ukiona gari jipya lina namba za zamani elewa hivyo
 
Kuna michezo ya kubatiza namba za magari ya zamani kwenye gari mpya, watu wanafanya sana hii issue kuna vitu wanakwepa.
 
Mkuu hayo hua ni magari ya zamani ambayo yamekua pimped (upgraded). Bila shaka umeelewa hamna haja ya maelezo mengi.
 
Ila huwa hatusemi plate number bali ni number plate!
 
πŸ˜€ kikokotoo cha TRA mkuu
 
Namba ni namba tu.(Registration)

Hao waliokuwa kwenye mfumo washapewa namba zao, gari likifa, wana register tu gari nyingine kwa namba hiyo hiyo.

Na hata wakijulikana, tatizo lipo wapi?

Mihogo yangu ipo wapi ninywe chai kwanza.
Huo Ndiyo Ukweli. Umafunga mjadala.
 
Kaka wenyewe wapo kazini kipi ambacho we hukielewi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…