Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐mkuu
โน๏ธโน๏ธโน๏ธ๐ โโ๏ธnaweza kuwa mpangaji wako
๐ โโ๏ธnini sasa
Is non of your business, Fanya yako, katika hii dunia mtu mwenye utashi wake akifanya jambo huku wakiwa na akili timamu siyo kazi yako, mind your business.Hili suala la kugongeana wapangaji sijui wenye nyumba kwangu halijakaa poa kabisa.
Unajua kabisa ana mtu wake either anakuja au anaishi hapo, hadi muda mwingine wakiwa ndani unapunguza sauti ya redio yako usikie wanachofanya and then akiondoka na wewe unamendea.
Unaona mwamba/demu kaingiza watu wanne ndani ya mwezi na wewe umo hata hustuki.
Acheni sijapenda.