Inakuaje hadi unakula mpangaji mwenzio au mwenye nyumba? Ujinga tu. Acha!

Inakuaje hadi unakula mpangaji mwenzio au mwenye nyumba? Ujinga tu. Acha!

Siwez kula mpangaji maana kodi ikiisha ataanza ohhh nimekwama nilipie kodi sijui umeme.

Mimi ni mikausho mikali sinaga shobo na mpangaji wenzangu zaidi ya salamu moja basi.
 
Hili suala la kugongeana wapangaji sijui wenye nyumba kwangu halijakaa poa kabisa.

Unajua kabisa ana mtu wake either anakuja au anaishi hapo, hadi muda mwingine wakiwa ndani unapunguza sauti ya redio yako usikie wanachofanya and then akiondoka na wewe unamendea.

Unaona mwamba/demu kaingiza watu wanne ndani ya mwezi na wewe umo hata hustuki.

Acheni sijapenda.

Anachosema kweli kabisa
 
Hujajua tuu ushawishi wa wadada wa nyumba za kupanga, huwaga wanajiachia sana hata mavazi, muda mwingi wanakuwa wamevaa mitindo ya wepesi, halafu ukute mnashea bafu, aiseee utajikuta unaharibu kazi kila siku
 
Back
Top Bottom