Inakuaje hadi unakula mpangaji mwenzio au mwenye nyumba? Ujinga tu. Acha!

Kaniona napitq na mkate wangu kanivutia ndani kwake nikanywe chai, na kanambia mchana anapika ugali baada ya kuniuliza chakula changu pendwa ni nini, sasa mimi huyo mwanajeshi wake mwenye kitambi tutapigana tu
 
Aseee nakumbuka nilikuwa naletewa chakula hadi ndani nadekiwa nafuliwa asee nikaona isiwe shida ngoja nikule hii kitu ila halikuwa jambo zuri.
 
Aseee nakumbuka nilikuwa naletewa chakula hadi ndani nadekiwa nafuliwa asee nikaona isiwe shida ngoja nikule hii kitu ila halikuwa jambo zuri.
tuseme hadi now unafuliwa
 
Wadada mlioliwa kimasihara na wapangaji wenzenu mje kutoa ushuhuda
 
Is non of your business, Fanya yako, katika hii dunia mtu mwenye utashi wake akifanya jambo huku wakiwa na akili timamu siyo kazi yako, mind your business.
 
Is non of your business, Fanya yako, katika hii dunia mtu mwenye utashi wake akifanya jambo huku wakiwa na akili timamu siyo kazi yako, mind your business.
hata njia ya kwenye miba nayo ni njia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…