Inakuaje hadi unakula mpangaji mwenzio au mwenye nyumba? Ujinga tu. Acha!

Siwez kula mpangaji maana kodi ikiisha ataanza ohhh nimekwama nilipie kodi sijui umeme.

Mimi ni mikausho mikali sinaga shobo na mpangaji wenzangu zaidi ya salamu moja basi.
 
Anachosema kweli kabisa
Your browser is not able to display this video.
 
Hujajua tuu ushawishi wa wadada wa nyumba za kupanga, huwaga wanajiachia sana hata mavazi, muda mwingi wanakuwa wamevaa mitindo ya wepesi, halafu ukute mnashea bafu, aiseee utajikuta unaharibu kazi kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…