Inakuaje Lawrence Mafuru azikwe Dar na sio kwao Mara?

Nikiangalia ratiba ya mazishi ya poti Mafuru,inaonyesha atazikiwa Dar.kwa kumbukumbu zangu huyu ni mtu wa mkoa wa Mara huko,na kawaida ya watu wa Mara huwa hawazikiwi nje ya mkoa wao.
Sasa najiuliza huyu bwana imekuaje azikiwe huko Daslamu na wakati ana kwao?
Nong'ona usiseme kwa sauti, wewe mara ya mwisho kwenda kwenu ilikuwa karne ipi? Unauhakika kijiji chenu bado kipo na nduguzo bado wapo, wee acha tu.
 
Nikiangalia ratiba ya mazishi ya poti Mafuru,inaonyesha atazikiwa Dar.kwa kumbukumbu zangu huyu ni mtu wa mkoa wa Mara huko,na kawaida ya watu wa Mara huwa hawazikiwi nje ya mkoa wao.
Sasa najiuliza huyu bwana imekuaje azikiwe huko Daslamu na wakati ana kwao?
Hakuwa amejiandaa huko kwao. Unataka ya yule msanii wa Tanga aliyefiwa na mamaye yamkute?
 
Nikiangalia ratiba ya mazishi ya poti Mafuru,inaonyesha atazikiwa Dar.kwa kumbukumbu zangu huyu ni mtu wa mkoa wa Mara huko,na kawaida ya watu wa Mara huwa hawazikiwi nje ya mkoa wao.
Sasa najiuliza huyu bwana imekuaje azikiwe huko Daslamu na wakati ana kwao?
Ungeandika jina kamili.Alikuwa nani na kwao ni kijiji gani!Na inahusu kipi.
 
Nikiangalia ratiba ya mazishi ya poti Mafuru,inaonyesha atazikiwa Dar.kwa kumbukumbu zangu huyu ni mtu wa mkoa wa Mara huko,na kawaida ya watu wa Mara huwa hawazikiwi nje ya mkoa wao.
Sasa najiuliza huyu bwana imekuaje azikiwe huko Daslamu na wakati ana kwao?
labda walipiga kura tunasafirisha au tunazika. kura ya tunazika ikashinda
 
Back
Top Bottom