Inakuaje Lawrence Mafuru azikwe Dar na sio kwao Mara?

Nong'ona usiseme kwa sauti, wewe mara ya mwisho kwenda kwenu ilikuwa karne ipi? Unauhakika kijiji chenu bado kipo na nduguzo bado wapo, wee acha tu.
 
Hakuwa amejiandaa huko kwao. Unataka ya yule msanii wa Tanga aliyefiwa na mamaye yamkute?
 
Ungeandika jina kamili.Alikuwa nani na kwao ni kijiji gani!Na inahusu kipi.
 
labda walipiga kura tunasafirisha au tunazika. kura ya tunazika ikashinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…