Inakuaje mdada ni flat screen halafu bado unangoja utongozwe?

Hizi comments zinatia wasiwasi Sana

Aisee Leo ndiyo nimeamini kuwa humu kuna wanawake hawajaolewa maana kama wewe ni flat na una ndoa ya nini uweweseke na kutongozwa ilihali una ndoa

Kama sivyo basi wengi wenu ni ma single Maza...
Kwani kila mwanamke aliyepo humu ni lazima awe ameolewa?

Na ni nani aliyekwambia mwanamke kuwa 'single mama' ni kosa la jinai?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
😁msemakweli ni mpenzi wa mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…