Inakuaje mdada ni flat screen halafu bado unangoja utongozwe?

Inakuaje mdada ni flat screen halafu bado unangoja utongozwe?

Mimi binafsi nawapenda sana flat kiliko hao ambao wewe unawapenda. Nadhani kila mtu ana kitu kimpendezacho ndugu
 
kuna watu wanawapenda hivyo hivyo..mapenzi ni upofu aisee

Sent usingJamii Forums mobile app
 
marazote kitafwutacho ujue mwenye kukitafuta hana ndio maana anakitafuta.....tako hata mwanaume analo ila vile vingine hatunaga ndio maana tunaangaikia...ila ingekuwa jambo la maana sana mwanamke mwenye vagina mtuno(bubudu nene) angeshobokewa sana maana katika mechi hiyo ndio main character
 
Kwahiyo mkuu sisi flatscreen hatutakiwi kutongozwa? au unamaanisha tuwe tunawatongoza
 
Hizi comments zinatia wasiwasi Sana

Aisee Leo ndiyo nimeamini kuwa humu kuna wanawake hawajaolewa maana kama wewe ni flat na una ndoa ya nini uweweseke na kutongozwa ilihali una ndoa

Kama sivyo basi wengi wenu ni ma single Maza...
 
the earth is flat



and them? They are flat,,


flat screen,


ila ni watamu sana,yan unamkunja unavotaka.
Unachanganya madesa kamanda. Anaweza kuwa kibonge halafu flat screen pia. Utamkunjaje kibonge? Uflat screen hauhusiani na body type ya mtu. Kuna vimbaumbau vimefungasha (mf. haka chini) na mavibonge flat screen [emoji16][emoji16][emoji16]
651f1675dd4033bf993dd553a5ac52c4.jpeg
 
Back
Top Bottom