Eumed15
Senior Member
- Nov 17, 2016
- 188
- 289
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya my wanguHuko huko my wangu....
Hizi comments zinatia wasiwasi Sana
Aisee Leo ndiyo nimeamini kuwa humu kuna wanawake hawajaolewa maana kama wewe ni flat na una ndoa ya nini uweweseke na kutongozwa ilihali una ndoa
Kama sivyo basi wengi wenu ni ma single Maza...
Inakuwaje mdada una kalio dogo flat halafy unasubiri kutongozwa?
Mashaallah
Nyau unamaanisha paka au?
Nyau = PussyNyau unamaanisha paka au?
hii haijalishi mbona walio flat wazuri tu au we unavutiwa na mimafuta iliyojazana kwa nyuma😂😂😂😂Inakuwaje mdada una kalio dogo flat halafy unasubiri kutongozwa?
Siyo kwa povu hiliKwani umelazimishwa kututongoza? Una matatizo kweli wewe...wenye mikia wanaokutongoza si wapo sisi tukifanya mambo yetu wewe unawashwa nini? Ovyooo
Sent using Jamii Forums mobile app