Inakuaje mdada ni flat screen halafu bado unangoja utongozwe?

Inakuaje mdada ni flat screen halafu bado unangoja utongozwe?

Hizi comments zinatia wasiwasi Sana

Aisee Leo ndiyo nimeamini kuwa humu kuna wanawake hawajaolewa maana kama wewe ni flat na una ndoa ya nini uweweseke na kutongozwa ilihali una ndoa

Kama sivyo basi wengi wenu ni ma single Maza...

Usitutoe nje ya mada.
Mada iliyopo hapa ni ya mtongozo wa hao flat.


Sent using iPhone 7
 
Back
Top Bottom