Manfried JF-Expert Member Joined Oct 11, 2024 Posts 1,288 Reaction score 4,074 Feb 17, 2025 #1 Ukitazama hii video utaona maajabu Makubwa Sana . Mtoto unampeleka polini analala nje . Mvua na jua yote yake Unamwambia aangalie Ng'ombe na Mbuzi. Anatembea na Miguu kilometers 7 kwenda shule. Na mwisho anatokea msamalia Mwema na anafanikiwa kupata mfadhali wa kumsomesha na kila kitu kinabadilika. Is About shit nigga Kwa dunia ya sasa Ng'ombe , mbuzi mashamba havina thamani Kama zamani. Tupo dunia ya teknolojia so hakikisha mtoto Ana so ma Nyie wazazi wapumbavu wa vijijini Hizo Ng'ombe na Mbuzi sio utajiri wala maisha Utajiri ni akili. View: https://youtu.be/-H9mzc9miXc?si=hVX424AMMRJ_cdYX
Ukitazama hii video utaona maajabu Makubwa Sana . Mtoto unampeleka polini analala nje . Mvua na jua yote yake Unamwambia aangalie Ng'ombe na Mbuzi. Anatembea na Miguu kilometers 7 kwenda shule. Na mwisho anatokea msamalia Mwema na anafanikiwa kupata mfadhali wa kumsomesha na kila kitu kinabadilika. Is About shit nigga Kwa dunia ya sasa Ng'ombe , mbuzi mashamba havina thamani Kama zamani. Tupo dunia ya teknolojia so hakikisha mtoto Ana so ma Nyie wazazi wapumbavu wa vijijini Hizo Ng'ombe na Mbuzi sio utajiri wala maisha Utajiri ni akili. View: https://youtu.be/-H9mzc9miXc?si=hVX424AMMRJ_cdYX
EvilSpirit JF-Expert Member Joined Jun 15, 2017 Posts 10,576 Reaction score 16,644 Feb 17, 2025 #2 Umeandika nini?
Manfried JF-Expert Member Joined Oct 11, 2024 Posts 1,288 Reaction score 4,074 Feb 17, 2025 Thread starter #3 EvilSpirit said: Umeandika nini? Click to expand... Ukiona kitabu haujakielewa fahamu tu hakijaandikwa Kwa ajili yako.
EvilSpirit said: Umeandika nini? Click to expand... Ukiona kitabu haujakielewa fahamu tu hakijaandikwa Kwa ajili yako.
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 12,846 Reaction score 28,106 Feb 17, 2025 #4 Nimetoka kapa
Manfried JF-Expert Member Joined Oct 11, 2024 Posts 1,288 Reaction score 4,074 Feb 17, 2025 Thread starter #5 DR SANTOS said: Nimetoka kapa Click to expand... Sawa Mkuu