Inakuaje mtu umehama kikazi kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine then urudishwe ulipotoka?

Inakuaje mtu umehama kikazi kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine then urudishwe ulipotoka?

Et wadau,kwann wasikatae kabla haujaondoka..vipi uliefanikiwa kuhama ukaambiwa urudi ulirudi au ilikuaje?
Ulihama kimchongo kupitia kwa vishoka?, au ulihama ila mshahara haukuhamishwa?
 
Ulienda Utumishi kutafuta connection ya kuhama, ukakutana na vishoka wakakupa barua fekii

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
  • Thanks
Reactions: K11
Back
Top Bottom