navigator msomi Senior Member Joined May 8, 2018 Posts 188 Reaction score 224 Dec 18, 2024 #1 Et wadau,kwann wasikatae kabla haujaondoka..vipi uliefanikiwa kuhama ukaambiwa urudi ulirudi au ilikuaje?
Et wadau,kwann wasikatae kabla haujaondoka..vipi uliefanikiwa kuhama ukaambiwa urudi ulirudi au ilikuaje?
navigator msomi Senior Member Joined May 8, 2018 Posts 188 Reaction score 224 Dec 18, 2024 Thread starter #2 Inakuajeee
K11 JF-Expert Member Joined Oct 15, 2014 Posts 3,447 Reaction score 11,274 Dec 18, 2024 #3 navigator msomi said: Et wadau,kwann wasikatae kabla haujaondoka..vipi uliefanikiwa kuhama ukaambiwa urudi ulirudi au ilikuaje? Click to expand... Ulihama kimchongo kupitia kwa vishoka?, au ulihama ila mshahara haukuhamishwa?
navigator msomi said: Et wadau,kwann wasikatae kabla haujaondoka..vipi uliefanikiwa kuhama ukaambiwa urudi ulirudi au ilikuaje? Click to expand... Ulihama kimchongo kupitia kwa vishoka?, au ulihama ila mshahara haukuhamishwa?
Liverpool VPN JF-Expert Member Joined Aug 29, 2020 Posts 6,958 Reaction score 16,358 Dec 18, 2024 #4 Ulienda Utumishi kutafuta connection ya kuhama, ukakutana na vishoka wakakupa barua fekii #YNWA #YANGA_BINGWA
Ulienda Utumishi kutafuta connection ya kuhama, ukakutana na vishoka wakakupa barua fekii #YNWA #YANGA_BINGWA
Orketeemi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,063 Reaction score 12,866 Dec 18, 2024 #5 navigator msomi said: Et wadau,kwann wasikatae kabla haujaondoka..vipi uliefanikiwa kuhama ukaambiwa urudi ulirudi au ilikuaje? Click to expand... Mbona ulishajibiwa Jana FB group la walimu
navigator msomi said: Et wadau,kwann wasikatae kabla haujaondoka..vipi uliefanikiwa kuhama ukaambiwa urudi ulirudi au ilikuaje? Click to expand... Mbona ulishajibiwa Jana FB group la walimu
Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 19,687 Reaction score 23,689 Dec 18, 2024 #6 navigator msomi said: Et wadau,kwann wasikatae kabla haujaondoka..vipi uliefanikiwa kuhama ukaambiwa urudi ulirudi au ilikuaje? Click to expand... Wee mwalimu msumbufu sana, mada ya fb hii.
navigator msomi said: Et wadau,kwann wasikatae kabla haujaondoka..vipi uliefanikiwa kuhama ukaambiwa urudi ulirudi au ilikuaje? Click to expand... Wee mwalimu msumbufu sana, mada ya fb hii.