Inakuaje mtumishi wa Serikali unajiona kama Mungu mtu? Hampewi training huko namna ya kuzungumza na wateja??

Inakuaje mtumishi wa Serikali unajiona kama Mungu mtu? Hampewi training huko namna ya kuzungumza na wateja??

HAPANA,HATA SIO KUMUHARIBIA,TENA UKIWEZA MCHANE HAPOHAPO TU WAZI OFISINI MBELE YA WATU WOTE.

WATU KAMA HAO,HUWA NINAWACHANA NA HUDUMA NAPATA,HANA LA KUKUFANYA.
TENA UNGETAJA HADI OFISI YAKE ILIPO.
Snitch tu huyo yeye ndio jau ....unajua kuna wateja ile mteja mfalme wanaitumia vibaya.
 
Wakati mwingine ni hulka ya mtu tu na sio taasisi. Experience yako inaweza kuwa tofauti kabisa na ya mwingine eneo lingine aliyekutana na mtu mwingine kwa shida kama yako na akasaidiwa vizuri. Dawa yake ni kutafuta access ya boss wake, akijua hilo atakuhudumia vizuri na kwa heshima zote. Then utumie hiyo nafasi kumrekebisha.
 
HAPANA,HATA SIO KUMUHARIBIA,TENA UKIWEZA MCHANE HAPOHAPO TU WAZI OFISINI MBELE YA WATU WOTE.

WATU KAMA HAO,HUWA NINAWACHANA NA HUDUMA NAPATA,HANA LA KUKUFANYA.
TENA UNGETAJA HADI OFISI YAKE ILIPO.
Mkuu narudi, nahisi naenda kufanya uvandame kama huu.. Boloyanki haruki leo yule.
 
Wabongo kazi kulalamika eti unakuja kumchana huku JF kama mwanaume mtu akileta dharau na ukajiridhisha hizi ni dharau yahn kwamba mtu amevuka mstari mwekundu unaruka nae ili awe na nidhamu sio kuja kulia kulia.
100% nimezingua mkuu, ila hapa nime release tu ya moyoni.. namrudia tena
 
🤣🤣🤣Waulinda wako moyo🥴
Madam ushawahi ku mind alaf mtu anakuchekeshaa, unaweza mrabua likibao.. ila nime smile 😊 najikaza kucheka. Ukisikia kuna wanawake wanajua kubadili mood ndo huku, unarudi hutaki game ila to yeye mchokonozi sasa mpaka uitandikee.
 
Wakati mwingine ni hulka ya mtu tu na sio taasisi. Experience yako inaweza kuwa tofauti kabisa na ya mwingine eneo lingine aliyekutana na mtu mwingine kwa shida kama yako na akasaidiwa vizuri. Dawa yake ni kutafuta access ya boss wake, akijua hilo atakuhudumia vizuri na kwa heshima zote. Then utumie hiyo nafasi kumrekebisha.
Shukran Mkuu 🤝
 
UNAJUA MTU ANAKUWA AMEZOEA KUFANYA HUDUMA ZA HIVYO KWA KUDHARAU WATU NA WANAMUACHA,BADALA YA KUMKEMEA HADHARANI.

YAANI KAMA YEYE ANAVYOKUJIBU,NA WEWE JIBU VILEVILE,AONE HUYU SIO.
Uko sahihi japokua upande wa pili natamani jambo langu liishe mapema na kutengeneza mahusiano kwa ajili ya siku nyingine, ukimlipua hivo tena kwa incharge si beef ya milele alafu ukirudi?.. nawaza tu mkuu.
 
Heshima kwenu Wakuu,

Nimekwazika sana, mara ya 2 mtu unaenda kitengo flani kutaka huduma na maelekezo vizuri namna ya kufanikisha jambo lakini majibu unayopewa ni ya mkato na dharau imetamalaki.. yani sijawahi onyeshwa nyodo za hivi ata na mwanamke tokea nizaliwe.

Huyo jamaa siku ya kwanza naenda ofisini nikakuta foleni, ilikua unasikia mwezako anavojibiwa na sio mimi pekee wote ata wa mbele yangu mwendo ni ule ule majibu yake short yasiyojitosheleza.

Imefika zamu yangu, namsalimia Habari ya kazi bro, kanyanyua kichwa na kujibu 'ehee??' Basi nikaanza kujieleza shida yangu napokwama napohitaji msaada, aisee jamaaa akanichana "nenda kwenye point acha maelezo mengi".

Dah nikajikaza kiume, "ok, in a nutshell shida yangu ni hii..." cha ajabu akaomba details, kumpatia akaanza kuuliza yale yale aliyonikatisha wakati namueleza, reaction yangu nikaanza kujibu short and simple na yeye maswali yakawa mengi nilimshangaa sana.

Niliambiwa nirudi siku inayofata asubuhi opening hours, nimejihimu na kupanda boda ili niwahi foleni kufika kweli nimemkuta, kumpa salamu jibu lake.. "Njoo baadae" no time slot.

Mimi sio snitch na sipendi kuchongea ila kwa dharau alizonazo huyu pimbi natamani ata nimtafute in charge wake nitoe malalamiko. Imagine ile siku ya kwanza tuko wengi tu anasema "Jipangeni kwenye foleni, nyie si watu wazima au?" Na kulikua na watu wa makamo pale.

Kwani ukimjibu mtu vizuri unapungukiwa nn? Nakukumbusha tu mshahara unaolipwa ni kutokana na kodi zetu iweje hau heshimu walipa kodi?? Kiumri ni braza makadirio umenizidi miaka 4 au 5 apo ila heshima ni bure mzee.

Ni TRA Tanzania
Mtaje jina na kitengo chake kenge huyo,wanajisahau sana hao
 
Kwahiyo nilivyo kuambia upange foleni nilikosea?

Pia kukuambia nenda direct nilikosea?
Umeamua uje usema hapa wakuu mtu alikuwa anazunguka ana elezea anarudi kulekule ndio maana nikamwambia aende direct kwenye point
 
Heshima ni kitu cha bure, kuna memba wamenijibu vizuri sana hapo juu kwamba ni malezi tu, hulka binafsi! Ndio hadi kukaripia watu wazima?
 
Tunapewa training mkuu, tusamehe
🤣Wanataka customer care kama ya hotel, au profit making firms, hata kwa huduma za kimishonari hakuna hicho unachotaka "mteja Mfalme" does not apply on every service, kwanza Hawa watumishi wanafanya KAZI kwenye mazingira yenye changamoto sana, halafu mnataka wawe wanigiza na fake smile au lugha za ki "air hostess"😇😆
 
Madam ushawahi ku mind alaf mtu anakuchekeshaa, unaweza mrabua likibao.. ila nime smile 😊 najikaza kucheka. Ukisikia kuna wanawake wanajua kubadili mood ndo huku, unarudi hutaki game ila to yeye mchokonozi sasa mpaka uitandikee.
Aisee,mi game unapiga hata kwa mtutu
 
Snitch tu huyo yeye ndio jau ....unajua kuna wateja ile mteja mfalme wanaitumia vibaya.
"Mteja Mfalme" does not apply on every service, hiyo ni slogan ya profit making firms/departments/busness, where u need to attract more customers against your competitors
 
Back
Top Bottom