Inakuaje mtumishi wa Serikali unajiona kama Mungu mtu? Hampewi training huko namna ya kuzungumza na wateja??

Inakuaje mtumishi wa Serikali unajiona kama Mungu mtu? Hampewi training huko namna ya kuzungumza na wateja??

Upbringing mbovu tuu, hata ukiwa trained by whoever hakuna, ni kama vile baada ya watu wengine kuelimika, masalia yote ya mapungufu yalimwagwa Africa na kwa bahati mbaya hata hatulijui hilo.
Duh hatari kk, maneno mazito haya
 
Be specific to the finest detail, siyo ku blanket the whole public sector, don't expect too much kama vile watumishi wa umma ni your personal/domestic servants
I could argue with choose your career wisely and stop acting like Alpha and Omega, everybody is replaceable.. if the job is too much to handle quit, i should not expect top notch service from you people?? U cant be serious.
 
wale jamaa wanajiona miungu watu kabisa na hiyo yote ni kujiwekea mazingira ya rushwa ndiomaana wanajenga mahekalu huko mtaani na hakuna wa kuwahoji ukiuliza utaambiwa afisa wa customs huyo, na yale maumbwa yanajiita takokuuruuu yapo tu SHAME.
Be specific ni idara gani?, ili discussion izae matunda, siyo kuleta chuki kwa public servants woote
 
I could argue with choose your career wisely and stop acting like Alpha and Omega, everybody is replaceable.. if the job is too much to handle quit, i should not expect top notch service from you people?? U cant be serious.
Mi ni mtumishi wa umma na ni mteja mkubwa wa huduma za umma kuliko wewe, Nina procure huduma idara tofauti, Polisi, Afya, Kilimo etc, if I were you, ningeleta kisa ambacho ni specific ili discussion izae matunda, but u just blanket the whole public service, it doesn't make sense
 
I could argue with choose your career wisely and stop acting like Alpha and Omega, everybody is replaceable.. if the job is too much to handle quit, i should not expect top notch service from you people?? U cant be serious.
 
Kaka mtoa post
»»KWA MTIZAMO WANGU, INAWEZEKANA HUYO KASOMA SANA MADESA YAMEMHARIBU KICHWA HATA UTU HANA.

»»INAWEZEKANA KAZI KAIPATA KWA MCHONGO/RUSHWA/UCHAWI, HIVO NI KILAZA, KICHWANI HAKUNA KITU.

»»INAWEZEKANA KABISA WALIOKUWA WAMETANGULIA KWENYE FOLENI WALIMTIBUA.

NB" mimi niiliwahi kwenda ofisi moja ya TRA nilikuwa nafuatilia ishu moja kuhusu kiusafiri, nikamweleza hitaji langu huyo ofisa, MWAMBA KANIJIBU MM SINA AKILI Muulze yule..kufuatilia kumbe alikuwa kwenye likzo ya ugonjwa, INAWEZAKANA HUYO MWAMBA NAYE NI MGONJWA.
 
Unajua kuna watu wanakuwa wameenda kazi wakiwa na stress majibu yake chukulia kama mapungufu yake accept
 
Ninapata ukakasi kumuharibia mtu kipato, ila kama sio mimi lazima kuna mtu atamlipua tu sio kwa madharau yake kama ashahaidiwa pepo
Na shida inaanzia hapa, wewe unafanyiwa upuuzi na mtoa huduma ambae ni wajibu wake kukuhudumia, lkn hauoni umuhimu wa huyo mtoa huduma kuwajibishwa Kwa utovu wa nidhamu Kwa kisingizio cha hutaki kumuharibia ugali wake! unataka nani akairekebishe hali hiyo kwa niaba Yako? Hauoni kama na wewe anakuharibia mambo Yako yanakwama?
 
Wengi(sio wote) ndivyo walivyo
Niliwahi kwenda TRA mwanza nilihudumiwa na huyo dada aisee mpaka nikatamani nisiondoke, anasikiliza kwa makini, anatoa maelezo yaliyonyooka, the problem was sorted. Nikampa hongera zake, kama kungekuwa na uwezekano watumishi wote wangetakiwa wawe kama yule.
Tatizo Wema na Wahuni wapo kila sehemu, nikupambana tuwapige spana Wahuni wote watoke kwenye mifumo yetu ili wabaki wema tu!!
 
S
Heshima kwenu Wakuu,

Nimekwazika sana, mara ya 2 mtu unaenda kitengo flani kutaka huduma na maelekezo vizuri namna ya kufanikisha jambo lakini majibu unayopewa ni ya mkato na dharau imetamalaki.. yani sijawahi onyeshwa nyodo za hivi ata na mwanamke tokea nizaliwe.

Huyo jamaa siku ya kwanza naenda ofisini nikakuta foleni, ilikua unasikia mwezako anavojibiwa na sio mimi pekee wote ata wa mbele yangu mwendo ni ule ule majibu yake short yasiyojitosheleza.

Imefika zamu yangu, namsalimia Habari ya kazi bro, kanyanyua kichwa na kujibu 'ehee??' Basi nikaanza kujieleza shida yangu napokwama napohitaji msaada, aisee jamaaa akanichana "nenda kwenye point acha maelezo mengi".

Dah nikajikaza kiume, "ok, in a nutshell shida yangu ni hii..." cha ajabu akaomba details, kumpatia akaanza kuuliza yale yale aliyonikatisha wakati namueleza, reaction yangu nikaanza kujibu short and simple na yeye maswali yakawa mengi nilimshangaa sana.

Niliambiwa nirudi siku inayofata asubuhi opening hours, nimejihimu na kupanda boda ili niwahi foleni kufika kweli nimemkuta, kumpa salamu jibu lake.. "Njoo baadae" no time slot.

Mimi sio snitch na sipendi kuchongea ila kwa dharau alizonazo huyu pimbi natamani ata nimtafute in charge wake nitoe malalamiko. Imagine ile siku ya kwanza tuko wengi tu anasema "Jipangeni kwenye foleni, nyie si watu wazima au?" Na kulikua na watu wa makamo pale.

Kwani ukimjibu mtu vizuri unapungukiwa nn? Nakukumbusha tu mshahara unaolipwa ni kutokana na kodi zetu iweje hau heshimu walipa kodi?? Kiumri ni braza makadirio umenizidi miaka 4 au 5 apo ila heshima ni bure mzee.

Ni TRA Tanzania
Si umtaje jina na mkoa pamoja na branch anayofanya kazi
 
Kaka mtoa post
»»KWA MTIZAMO WANGU, INAWEZEKANA HUYO KASOMA SANA MADESA YAMEMHARIBU KICHWA HATA UTU HANA.

»»INAWEZEKANA KAZI KAIPATA KWA MCHONGO/RUSHWA/UCHAWI, HIVO NI KILAZA, KICHWANI HAKUNA KITU.

»»INAWEZEKANA KABISA WALIOKUWA WAMETANGULIA KWENYE FOLENI WALIMTIBUA.

NB" mimi niiliwahi kwenda ofisi moja ya TRA nilikuwa nafuatilia ishu moja kuhusu kiusafiri, nikamweleza hitaji langu huyo ofisa, MWAMBA KANIJIBU MM SINA AKILI Muulze yule..kufuatilia kumbe alikuwa kwenye likzo ya ugonjwa, INAWEZAKANA HUYO MWAMBA NAYE NI MGONJWA.
Dah imebidi nicheke 😂😂

Afisa alijibu "mimi sina akili?"
 
Na shida inaanzia hapa, wewe unafanyiwa upuuzi na mtoa huduma ambae ni wajibu wake kukuhudumia, lkn hauoni umuhimu wa huyo mtoa huduma kuwajibishwa Kwa utovu wa nidhamu Kwa kisingizio cha hutaki kumuharibia ugali wake! unataka nani akairekebishe hali hiyo kwa niaba Yako? Hauoni kama na wewe anakuharibia mambo Yako yanakwama?
Una point mkuu, sahivi nimerudi sijamkuta.
 
Back
Top Bottom