Inakuaje mtumishi wa Serikali unajiona kama Mungu mtu? Hampewi training huko namna ya kuzungumza na wateja??

Pole mkuu na wakitumbuliwa wanatia huruma kweli kweli kwa malalamiko mitandaoni kama sio wao wanaojibu watu vibaya
 
Imefika zamu yangu, namsalimia Habari ya kazi bro, kanyanyua kichwa na kujibu 'ehee??' Basi nikaanza kujieleza shida yangu napokwama napohitaji msaada, aisee jamaaa akanichana "nenda kwenye point acha maelezo mengi".
Hii ilinikuta bank fulani NBC Bariadi mpaka nikatamani kukimbia hapa bank au wapi? Huduma ile sikuipenda jamaa wana customer service mbovu kabisa nilikua upset sana ila nikamezea tu
 
Heshima kwenu Wakuu,

Nimekwazika sana, mara ya 2 mtu unaenda kitengo flani kutaka huduma na maelekezo vizuri namna ya kufanikisha jambo lakini majibu unayopewa ni ya mkato na dharau imetamalaki.. yani sijawahi onyeshwa nyodo za hivi ata na mwanamke tokea nizaliwe.

Huyo jamaa siku ya kwanza naenda ofisini nikakuta foleni, ilikua unasikia mwezako anavojibiwa na sio mimi pekee wote ata wa mbele yangu mwendo ni ule ule majibu yake short yasiyojitosheleza.

Imefika zamu yangu, namsalimia Habari ya kazi bro, kanyanyua kichwa na kujibu 'ehee??' Basi nikaanza kujieleza shida yangu napokwama napohitaji msaada, aisee jamaaa akanichana "nenda kwenye point acha maelezo mengi".

Dah nikajikaza kiume, "ok, in a nutshell shida yangu ni hii..." cha ajabu akaomba details, kumpatia akaanza kuuliza yale yale aliyonikatisha wakati namueleza, reaction yangu nikaanza kujibu short and simple na yeye maswali yakawa mengi nilimshangaa sana.

Niliambiwa nirudi siku inayofata asubuhi opening hours, nimejihimu na kupanda boda ili niwahi foleni kufika kweli nimemkuta, kumpa salamu jibu lake.. "Njoo baadae" no time slot.

Mimi sio snitch na sipendi kuchongea ila kwa dharau alizonazo huyu pimbi natamani ata nimtafute in charge wake nitoe malalamiko. Imagine ile siku ya kwanza tuko wengi tu anasema "Jipangeni kwenye foleni, nyie si watu wazima au?" Na kulikua na watu wa makamo pale.

Kwani ukimjibu mtu vizuri unapungukiwa nn? Nakukumbusha tu mshahara unaolipwa ni kutokana na kodi zetu iweje hau heshimu walipa kodi?? Kiumri ni braza makadirio umenizidi miaka 4 au 5 apo ila heshima ni bure mzee.

Ni TRA Tanzania
Pole sana mkuu. Ila watu wa TRA huwa wanavurugwa sana:; unapaswa kwenda nao taratibu. Msamehe bure huyo pimbi mkuu. Huenda hajui kuwa duniani tunaishi kwa kutegemeana.
 
Tatizo Wema na Wahuni wapo kila sehemu, nikupambana tuwapige spana Wahuni wote watoke kwenye mifumo yetu ili wabaki wema tu!!
Hao wahuni wahuni ndio wamechoka kazi tunayataka majina yao tuwaanike huku mfano John Mwaifambwe yupo Branch X ya TRA mkoa Y anatoa huduma mbovu kwa wateja tuwataje wajijue kua wao ni watoaji huduma mbovu kwa wateja
 
I could argue with choose your career wisely and stop acting like Alpha and Omega, everybody is replaceable.. if the job is too much to handle quit, i should not expect top notch service from you people?? U cant be serious.
listen young man, indeed my clients treat me as an α & Ω, kwa kazi nzuri ninayoifanya ktk civil service, sina madoa and I am happy to humbly serve people, pia ni expert wa ku-handle clients of your type (disrespectful stubborn clients)
 
Tutaanza kuwataja na majina mimi nilimlipua dada mmoja NMB mpaka akaniomba msamaha acheni hizo nyinyi yaan kukaliakalia hivyo viti vya kuzunguka na kupigwa na kakiyoyozi basi unajiona umemaliza kila kitu?
 
wale jamaa wanajiona miungu watu kabisa na hiyo yote ni kujiwekea mazingira ya rushwa ndiomaana wanajenga mahekalu huko mtaani na hakuna wa kuwahoji ukiuliza utaambiwa afisa wa customs huyo, na yale maumbwa yanajiita takokuuruuu yapo tu SHAME.

shida hasa inaanzia kule juu! wale wa kudra
 
Heshima kwenu Wakuu,

Nimekwazika sana, mara ya 2 mtu unaenda kitengo flani kutaka huduma na maelekezo vizuri namna ya kufanikisha jambo lakini majibu unayopewa ni ya mkato na dharau imetamalaki.. yani sijawahi onyeshwa nyodo za hivi ata na mwanamke tokea nizaliwe.

Huyo jamaa siku ya kwanza naenda ofisini nikakuta foleni, ilikua unasikia mwezako anavojibiwa na sio mimi pekee wote ata wa mbele yangu mwendo ni ule ule majibu yake short yasiyojitosheleza.

Imefika zamu yangu, namsalimia Habari ya kazi bro, kanyanyua kichwa na kujibu 'ehee??' Basi nikaanza kujieleza shida yangu napokwama napohitaji msaada, aisee jamaaa akanichana "nenda kwenye point acha maelezo mengi".

Dah nikajikaza kiume, "ok, in a nutshell shida yangu ni hii..." cha ajabu akaomba details, kumpatia akaanza kuuliza yale yale aliyonikatisha wakati namueleza, reaction yangu nikaanza kujibu short and simple na yeye maswali yakawa mengi nilimshangaa sana.

Niliambiwa nirudi siku inayofata asubuhi opening hours, nimejihimu na kupanda boda ili niwahi foleni kufika kweli nimemkuta, kumpa salamu jibu lake.. "Njoo baadae" no time slot.

Mimi sio snitch na sipendi kuchongea ila kwa dharau alizonazo huyu pimbi natamani ata nimtafute in charge wake nitoe malalamiko. Imagine ile siku ya kwanza tuko wengi tu anasema "Jipangeni kwenye foleni, nyie si watu wazima au?" Na kulikua na watu wa makamo pale.

Kwani ukimjibu mtu vizuri unapungukiwa nn? Nakukumbusha tu mshahara unaolipwa ni kutokana na kodi zetu iweje hau heshimu walipa kodi?? Kiumri ni braza makadirio umenizidi miaka 4 au 5 apo ila heshima ni bure mzee.

Ni TRA Tanzania
Lazima nicheke kabla ya kukupa pole🤣🤣😌😌 .

Mpangilio wa uandishi wako umejenga taswira ya clip inayocheza kuonesha tukio halisi.

Mkuu huyo ni indivisual mmoja anayeakisi tabia halisi za waTz walio wengi, huo ni utamaduni wetu kwa sasa kutokana na utawala uliopo madarakani.

Huyo mtu akifukuzwa kwene hako kaofisi, hana ujanja wowote wa kuvimba, ni sawa na rundo la kuku waliochinjwa na kunyonyolewa manyoya, hukosa utambulisho.

Thibitisha niyasemayo kwa kuangalia utendaji wa watumishi kwenye mnyororo wa vyombo vya kutolea haki ama kusimamia sheria.

Pia angalia sehemu za kutolea huduma za afya za umma na nyinginezo za kijamii nk nk, ni uozo mtupu wa jinsi hiyo.

Tukija kule juu kwenye 'top layer', ndiyo usiseme, wanaambiwa wale pole pole bila wasi wasi tena kwa urefu wa kamba zao walizosetiwa shongoni na mmiliki wao.

Sisi raia tumekosa mwakilishi wa kuweza kututetea.

Wanaoitwa wawakilishi na kile wanachokiwakilisha ni tofauti na shida pamoja na dhiki zetu.

Kiuhalisia hii Serikali inatakiwa kufanyiwa totally overhall kwa sanduku la kura ama kwa umwagaji wa damu ili kurudisha heshima iliyokwisha kupotea.
 
wale jamaa wanajiona miungu watu kabisa na hiyo yote ni kujiwekea mazingira ya rushwa ndiomaana wanajenga mahekalu huko mtaani na hakuna wa kuwahoji ukiuliza utaambiwa afisa wa customs huyo, na yale maumbwa yanajiita takokuuruuu yapo tu SHAME.
Tuwataje majina yao hao wahuni sio kuweka malalamiko tu majina mnaficha matakoni wekeni majina yao hapa wajulikane kua wao ndio wanaongoza kwa kutoa huduma mbovu ikiwezekana hata na picha zao itafaa zaidi
 
Back
Top Bottom