Inakuaje mtumishi wa Serikali unajiona kama Mungu mtu? Hampewi training huko namna ya kuzungumza na wateja??

Inakuaje mtumishi wa Serikali unajiona kama Mungu mtu? Hampewi training huko namna ya kuzungumza na wateja??

Hakuna kitu chochote kikaitwa cha serikali/umma kikawa na ufanisi.....kuanzia shule, hospitali, barabara, majengo, nk. Ni upuuzi mtupu!
mbona majority tumesoma primary to tertiary level public institutions kwa mafanikio makubwa, huduma nyingi za kijamii over 90% tunazipata kwa public facilities, changamoto zilizopo hata ungeishi first world countries kuna malalamiko mengi (people want more quality service), ingawa kwa wenzetu issues zinakuwa ni za kisera zaidi, unasema huku kwetu (shule, hospitali, barabara, majengo, nk. Ni upuuzi mtupu!) , hapo ushauriwako ni upi? ziwe privatized to serve the few privileged?
 
Dot treat public servants as if they are directly employed by customers (wananchi), mnaturudisha kwenye zama za communism.
Mjinga sana wewe, kwani huo mshaara unaolipwa ni pesa za akina nani?

Halafu majitu kama wewe akitokea raisi asiye entertain upuuzi na uzembe anawawajibisha hao public servants mnamchukia na kumuombea kifo..
 
Waache kazi km kazi zimewashinda waache kuna lundo la vijana wapo wengi wenye sifa ya kuzifanya hizo kazi km zinawashinda waache tu shida ipo wapi au mazoea?
kama mfumo ni uleule, hata ukibadilisha watu ni kama vile "New wine on old port"
 
Serikalin waajirwa 90% ni useless
kama ni 90% kwa utafiti wako, that's unbearable situation, u better relocate to DT"s dream land now, kama utabaki hapa na kuendelea kulalamika, you will end up as Lunatic
 
Lazima nicheke kabla ya kukupa pole🤣🤣😌😌 .

Mpangilio wa uandishi wako umejenga taswira ya clip inayocheza kuonesha tukio halisi.

Mkuu huyo ni indivisual mmoja anayeakisi tabia halisi za waTz walio wengi, huo ni utamaduni wetu kwa sasa kutokana na utawala uliopo madarakani.

Huyo mtu akifukuzwa kwene hako kaofisi, hana ujanja wowote wa kuvimba, ni sawa na rundo la kuku waliochinjwa na kunyonyolewa manyoya, hukosa utambulisho.

Thibitisha niyasemayo kwa kuangalia utendaji wa watumishi kwenye mnyororo wa vyombo vya kutolea haki ama kusimamia sheria.

Pia angalia sehemu za kutolea huduma za afya za umma na nyinginezo za kijamii nk nk, ni uozo mtupu wa jinsi hiyo.

Tukija kule juu kwenye 'top layer', ndiyo usiseme, wanaambiwa wale pole pole bila wasi wasi tena kwa urefu wa kamba zao walizosetiwa shongoni na mmiliki wao.

Sisi raia tumekosa mwakilishi wa kuweza kututetea.

Wanaoitwa wawakilishi na kile wanachokiwakilisha ni tofauti na shida pamoja na dhiki zetu.

Kiuhalisia hii Serikari inatakiwa tatally overhall kwa sanduku la kura ama kwa umwagaji wa damu ili kurudisha heshima iliyokwisha kupotea.
Umenyoosha maneno yakaeleweka mkuu, 100% ofisi zenyewe za ku share vimeza mtu unavimba hivyo dah umeongea vyema Mkuu.
 
listen young man, indeed my clients treat me as an α & Ω, kwa kazi nzuri ninayoifanya ktk civil service, sina madoa and I am happy to humbly serve people, pia ni expert wa ku-handle clients of your type (disrespectful stubborn clients)
All i see i that big ego you confuse for being an expert, again Sir.. everybody can be replaced! Operations wont stop just cause Mr Alpha & Omega is not present! And please tell me what makes u think am disrespectful and stubborn??
 
Dah mwanangu mimi Niko mpimbwe, ni boda boda tu Sina Ata status yoyote mimi sio tajiri kama matajiri wengine wa jf✏️😅
Basi mwaka huu tufosi kingi tusepe mambele hapa kama sipaelewi hivi man au unasemaje mzee wa kazi, gwala kwa wana wa mpimbwe.
 
All i see i that big ego you confuse for being an expert, again Sir.. everybody can be replaced! Operations wont stop just cause Mr Alpha & Omega is not present! And please tell me what makes u think am disrespectful and stubborn??
your language indicates a personal attack to me, instead of discussing the main issue (the challenges of public quality service delivery ), u can politely disagree with any comment, but not in a dis-respective way
 
your language indicates a personal attack to me, instead of discussing the main issue (the challenges of public quality service delivery ), u can politely disagree with any comment, but not in a dis-respective way
My bad Sir, sijakusudia hivyo.. will rectify myself.
 
Magufuli alikuwa anawanyoosha kenge kama hao mkawa mnalia eti ana wivu na matajiri na kwamba anapeleka nchi shimoni.
 
Ilikuaje na alifanywajwe?
Alifanya dharau kama alofanyiwa mleta uzi..lkn kesi iliishia ofisini Kwa boss wake mana nilienda mpaka Kwa boss wake akaitwa na wakaitwa na wenzie walokuwa wote ofisi moja.......akaniomba radhi mbele ya boss wake na wenzake,alidharau muonekano wangu akajua mi kanjunju bila ya kujua usidharau usomjua huezi jua atakufaa vp mbeleni,nilimuheshimu mno mwisho nikaona kheeee umati wote huu unanikodolea mie kisa yeye,nikaomba kumuona boss wao alijua utani lkn mwisho wa usiku nilifanikiwa kumuona boss nikajieleza vzr tu na nikahudumiwa vzr na boss wao akasema msidharau wateja jamani wote tupo Sawa.
 
Back
Top Bottom