inakuaje Nchi zinaungana kuipiga Israel lakini inashindikana, Yemen, Iran, Lebanon, Syria, Palestina hawaoni aibu?

Mnatafutaga kutukanwa tu... subili magaidi wa Geita waje kukujibu
 
Hio takwimu yako yote ni fake kupigana vita lini, kama vile Hamasi na Israel anauwa watoto, wanawake na kuvunja majumba, afu cha pili Israel anasaidiwa na USA, UK, Germany, France, Egypt, Jordan, UAE, Morocco, Baharain na Saud Arabia na wewe unasema anapigana vita peke yake πŸ˜„ Usisahau mpaa silaha alishiwa kupigana na Hamasi tu, bado hata hajanza vita na Hezbullah na Yemen we unamsifia anapigana na nchi πŸ˜†

Yemen, Hezbullah, hawajaingia vita na Israel bado ile full war. Hezbullah na Israel wanapigana ile piga na mimi nikupige. Yemen alikuwa anapiga port, na meli za Israel na ile drone moja kufika Tela Aviv ndio vita. Tulizana uone kimbunga kinacho kuja kutoka Yemen, hio ndio itakuwa vita imeanza kati ya Yemen na Israel.
 
Ulichokiandika hakina hata chembe ya ukweli. Kwa hapo zamani, ningekubaliana na wewe. Ila kwa sasa mambo ni tofauti kabisa.

Hao Mayahudi wasingekuwa wanapewa msaada wa silaha za kijeshi na kaka yake Marekani; muda huu tungekuwa tunaongea mengine.
Kumbuka hakuna taifa linalopigana vita peke yake hata warusi wenye pamoja na ubabe wao wote haipigani vita peke yake.
 
Kosugi ni vizuri kuwa unaleta na idadi ya vifo vya hao wanajeshi wengi wa kizayuni ukiambatanisha na uthibitisho
Tuanze na idadi ya askari walemavu wa ISRAEL.
Na ripoti mpya inaonesha ni askari elfu 70 sio elfu 12 tena.
Sasa jiulize kama askari elfu 70 wamepata ulemavu wengine wa akili je vifo vitakuwa vingapi!?
Hili ni gazeti la ISRAEL ndio limetoa ripoti usije ukaikana ukasema propaganda za waarabu.
Hii ni ripoti ya June 18 na hii ni July usikute idadi ikaongezeka zaidi.
 
Kosugi ni vizuri kuwa unaleta na idadi ya vifo vya hao wanajeshi wengi wa kizayuni ukiambatanisha na uthibitisho
Haya umeshawekewa uthibitisho, kazi kwako
 
Uharo mtupu.

Wameuwa watoto zaidi ya 15.000 kisha unaleta propaganda za kishoga.
 
We unashangaa hili sasa north african countries hizi zenye waarab, pamoja na nchi za kiarabu zenyewe ikiwemo Iran, pamoja na turkey, hawa wote wakiongoza na yule mkubwa wa ushetani yaani urusi watapigana na Israel na watapigwa tena vibaya mnooo uzuri hiki ninachoandika habari kobaaaz zitawafikia either wakiwa dunian au kuzimu maana nawajua maamuma hawa watataka kubishana hapa
 
Bado una hizi ndoto zisizo na mashiko!?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Daah ama kweli JF imeishiwa great thinkers.
 
Soon Zanzibar na Pemba watataka nao wakajiunge kuisupport Palestina
 
Gazeti refu la nini, Vita ya siku 6 nchi za kiarabu ziliungana kuipiga Isral lakini wao ndio walitimua mbio
 
Ulichokiandika hakina hata chembe ya ukweli. Kwa hapo zamani, ningekubaliana na wewe. Ila kwa sasa mambo ni tofauti kabisa.

Hao Mayahudi wasingekuwa wanapewa msaada wa silaha za kijeshi na kaka yake Marekani; muda huu tungekuwa tunaongea mengine.
Nchi kibao tu zinapewa misaada ya silaha

Pia Israel kwa sehemu kubwa anabuni na kununua silaha za jeshi lake
 
Sawa anasaidiwa lakini ni kwa kiasi kidogo, hata silaha anazopewa ni kiasi kidogo, Israel inabuni na kununua silaha zake kibao, Kumbuka Israel ina uchumi wa mwaka wa Dola bilioni 500 ambayo ni zaidi ya shilingi trilioni elf 2, hata wakisaidiwa msaada wa dola bilioni 3 bado ni sehemu ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…