babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Mkuu hapa watakuja waliovimbiwa urojo,hawajui hata wanachoongea.
Tar 7 ule mwaka hakukua na mchezo tena.
Kitu ambacho hawa wenzetu na pedo zao wakifkiri wataimba tu Allah akibaru na dunia itasikitikia wao.
Swali,kwanini walienda kufanya ujinga wao kwenye ile concert.
Wamefurahia sana baada ya hapo.
Jeshi hili linalopigana kwasasa sio ni Israel pekee,ni ukoo mzima walirudi kupigana hiyo vita.
Kumbuka hawa wako dunia nzima wanafanya kazi za kijeshi miaka yote wanarithishana.
Tar 10 walirudi wote km vitunguu kwenye ndege.
Tar 15 oct wote walikua tayari kambini.
Tar 20 kwenda mbele walikua wanaondoka kwenda frontline Gaza.
Sasa ukiangalia mzigo walioondoka nao wa silaha.
Walikua wanaenda kutwanga hao alhandulilahi wote.
Ndo kinachotokea sasa.
Wao wanaliendeleza tu ukitia pua wanakula kichwa.