Inakuaje wazazi wenye tattoos mwili mzima wanazaa Mtoto asiyekuwa na tattoo hata moja?

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Hili swali nimejiuliza muda mrefu Sana lakini nimekosa jibu. Yaani mama amejaa tatoo mwili mzima baba pia amejaa wino mwili mzima lkn Mtoto anazaliwa Hana hata tone la tattoo.

Wataalam wa sayansi nipeni msaada wa hili suala
 
[emoji23] hivi unatania au?

Ila kukujibu ni kuna kitu kinaitwa genetics kwamba sifa anazorithi mtoto ni zile sifa ambazo zipo ndani ya DNA ya wazazi... na sio hizi sifa zinazopatikana baada ya kuzaliwa

Mfano: kama wewe ni mwambamba ila ukaenda gym ukara vizuri ukanenepa ukizalisha mtoto nae atakuwa mwembamba hivyo hivyo, hatokuwa mnene sababu wewe asili yako sio unene

#Acquired character can not be inherited
 
Hili swali nimejiuliza muda mrefu Sana lakini nimekosa jibu. Yaani mama amejaa tatoo mwili mzima baba pia amejaa wino mwili mzima lkn Mtoto anazaliwa Hana hata tone la tattoo.

Wataalam wa sayansi nipeni msaada wa hili suala
Umeishia darasa la ngapi? Maana kwa swali hili inaonekana hata Form two hujafika!
 
Hili swali nimejiuliza muda mrefu Sana lakini nimekosa jibu. Yaani mama amejaa tatoo mwili mzima baba pia amejaa wino mwili mzima lkn Mtoto anazaliwa Hana hata tone la tattoo.

Wataalam wa sayansi nipeni msaada wa hili suala
Naona umeshiba ugal wa shemej yako ndy maan unajiropokeatu! Kakojoe ulale bc
 
Hili swali nimejiuliza muda mrefu Sana lakini nimekosa jibu. Yaani mama amejaa tatoo mwili mzima baba pia amejaa wino mwili mzima lkn Mtoto anazaliwa Hana hata tone la tattoo.

Wataalam wa sayansi nipeni msaada wa hili suala
tatoo ni kitu cha kijiongezea tu baada ya binadam kuzaliwa kwhy hakipo ndan ya vina saba ... kwhy mtoto hawez kuzaliwa na tattoo ni kama wazaz kujichubua tu mtot hawez kuzaliwa mweup km wazaz wanajchbua ila mtoto atazaliw mweup km asili na dna ya wazaz n weupe
 
Hili swali nimejiuliza muda mrefu Sana lakini nimekosa jibu. Yaani mama amejaa tatoo mwili mzima baba pia amejaa wino mwili mzima lkn Mtoto anazaliwa Hana hata tone la tattoo.

Wataalam wa sayansi nipeni msaada wa hili suala

Naamini unatania tu
 
Back
Top Bottom