MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Hili swali nimejiuliza muda mrefu Sana lakini nimekosa jibu. Yaani mama amejaa tatoo mwili mzima baba pia amejaa wino mwili mzima lkn Mtoto anazaliwa Hana hata tone la tattoo.
Wataalam wa sayansi nipeni msaada wa hili suala
Wewe kumbe ni bure kabisa,kwahiyo tattoo zinapatikana kwenye DNA[emoji2960][emoji1787].
Au mzazi mmoja ameungua na moto,kwahiyo mtoto nae atazaliwa ana makovu ya moto?LOL..Hahah
Umeishia darasa la ngapi? Maana kwa swali hili inaonekana hata Form two hujafika!Hili swali nimejiuliza muda mrefu Sana lakini nimekosa jibu. Yaani mama amejaa tatoo mwili mzima baba pia amejaa wino mwili mzima lkn Mtoto anazaliwa Hana hata tone la tattoo.
Wataalam wa sayansi nipeni msaada wa hili suala
Naona umeshiba ugal wa shemej yako ndy maan unajiropokeatu! Kakojoe ulale bcHili swali nimejiuliza muda mrefu Sana lakini nimekosa jibu. Yaani mama amejaa tatoo mwili mzima baba pia amejaa wino mwili mzima lkn Mtoto anazaliwa Hana hata tone la tattoo.
Wataalam wa sayansi nipeni msaada wa hili suala
tatoo ni kitu cha kijiongezea tu baada ya binadam kuzaliwa kwhy hakipo ndan ya vina saba ... kwhy mtoto hawez kuzaliwa na tattoo ni kama wazaz kujichubua tu mtot hawez kuzaliwa mweup km wazaz wanajchbua ila mtoto atazaliw mweup km asili na dna ya wazaz n weupeHili swali nimejiuliza muda mrefu Sana lakini nimekosa jibu. Yaani mama amejaa tatoo mwili mzima baba pia amejaa wino mwili mzima lkn Mtoto anazaliwa Hana hata tone la tattoo.
Wataalam wa sayansi nipeni msaada wa hili suala
ucmuite zuzu hapo utakuw umevunjia heshima.. n vzr kwanz ukamuelmishaDuh wewe zuzu haswa
πππHuwa zinatokea akibalehe kama ndevu na mavuzi tu.
Duh ππ½Huwa zinatokea akibalehe kama ndevu na mavuzi tu.