Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,265
sante Caro
naona jina lako kwa mwisho
liko similar kidogo na langu ..
bora umekuwa realistic
Wanaume wachache sana ni kubanana tu mpaka tukome! sijui tubaneje tusiibiane, naona kama haiwezekani
Wanaume wachache sana ni kubanana tu mpaka tukome! sijui tubaneje tusiibiane, naona kama haiwezekani
Mzee mwenzangu,...Mzima lakini?
Hawa vijana sijui wanataka nini. Nimewasihi waache kutumia muda mwingi sana (>10%) kuifikiria kesho na badala yake wahangaike na leo ila hawataki kusikia.
Naona wengi wao wameenda kulala roho zikiwa vipande vipande.
Maisha ya ndoa ni mabaya sana na magumu kuliko maelezo. Ila hapo hapo tulio wengi tunaamini kuwa hakuna maisha mazuri na matamu sana kama maisha ya ndoa.
If you happen to be the best character (an Oscar winner) kwenye mambo ya ndoa na ukabahatiaka kumpata star mwenzako basi mambo yenu lazima yawe mswano! Hata hivyo odds za hiyo kitu ni ndogo sana. Cha muhimu ni kuikubali hali na kujiandaa!
Ce ne pa facile (it is never easy)!!
Mzee DC!
Huo ni mtazamo wa upande mmoja tu. Hata sie tuliokuwa tunatafuta wanawake wa kuoa na si ili mradi jinsia ya kike tuliwaona wachache sana. Inategemea na quality ya kitu unachokitaka. Kama unatafuta watu wenye jinsi ya kiume, basi nikueleze kuwa ni wengi sana kama majani wakati wa masika. Ila kama unatafuta mwanamume wa kweli, anayeweza kuwa baba wa watoto wako hapo ndo unapokutana na kibarua cha kweli!!
Kwa upande wangu ninaposema wachache sina mana wachache namba zao lah!
Kwa upande wangu ninaposema mwanaume na apply traditional definition ya mwanaume;
that means mashoga, wavivu na tegemezi kupindukia, players over aged
(we una miaka 30 plus na kuendelea bado unakimbiza na ku juggle skirts?)
hawako katika definition ya a traditional African man!
Hivyo nikitoa hizo number hapo juu - NIAMBIE wangapi wanabaki?
Nenda ukajiconnect kwenye Jukwaa la Love loldaaahh leo ndo nimeona jukwaa jipya la LOVE CONNECT lol
Ingawa sina hakika kama naelewa definition yako ya traditional African man ila kwa sehemu kubwa uko sahihi. Je ukitumia vigezo kama hivyo bado utaendelea kuamini kuwa wanawake ni wengi sana?
Dark city nawaonea huruma wakaka katika hili kuliko hata wadada tokana na ukweli kua a home inatengenezwa na mwanamke. Ukioa mwanamke bomu am tellin you kumrudisha mstari uko sawa kazi kweli plus na hio impatience mlonayo ndio kabisaaaa. BUT mwanamke ukipata mwanamume bomu baada ya kazi ngumu na patience tulionayo possibility ya kumuweka katika mstari sahihi ipo walau kidogo.
Asha D,
Naona bado sina hakika na hiyo assertion (maelezo yako) unayojaribu kutoa. Hivi kwa nini mtu upate usumbufu wote huo? Kwa nini usikubali kuuchukua mzigo jumla jumla bila kuangalia nyuma? Kama ni kibudu sawa, kama ni halali poa tu?
Binafsi sijawahi kuhangaishwa na vitu kama hivyo...Nilikuwa naamini kuwa kama mapungufu ya wife hayahusu mambo ya msingi (especially tabia zake na philosophy yake) basi hivyo vitu vingine tunaweza kuvifumbia macho!
Mzee DC.
na haya matatizo/misukosuko tunayoyaelezea humu lazima wajiulize mara mbili mbili kuingia kwenye ndoa, wenigne tuliingia tukijua ndoa ndio yale mapenzi ya kupelekwa kula pizza kila cku, tumekomalia humu, tunagangamalia humu mpaka kieleweke...
Ni kweli dada ila naona kama vijana wanataka kujipa pressure bure wakati muda wenyewe haujawadia. Wapende wasipende wataingia kwenye ndoa siku moja, na baadhi yao watakutana na haya tunayoazungumzia. Tatizo lao naona ni kutaka kuchukua tahadhari hata kwa vitu vilivyo nje ya uwezo wao. Ndo maana jana nikawapa mfano wa chanzo cha ajali ya gari.....
Wasijipe pressure bure, wasubiri tu ipo siku wataujua muziki ambao wanatakiwa kuucheza...Kama ni rhumba, R&B au bongo flava!!
Asante mwalimushikamoo Mzee DC
hapo kwenye blue labda muda tumeuweka
karibuni karibuni ndo maana tunauliza..
kwa mimi biafsi wala hata sijipi pressure
na pressure sina kabisa ila nauliza, na kutoa opinion yangu
kwa kile nilicho kiona,kulia, shuhudia na kusikia...
ni kweli saa nyingine ni vema kuchukua tahadhari...
especially kama kitu kiko nje ya uwezo wako ...
Asante
shikamoo Mzee DC
hapo kwenye blue labda muda tumeuweka
karibuni karibuni ndo maana tunauliza..
kwa mimi biafsi wala hata sijipi pressure
na pressure sina kabisa ila nauliza, na kutoa opinion yangu
kwa kile nilicho kiona,kulia, shuhudia na kusikia...
ni kweli saa nyingine ni vema kuchukua tahadhari...
especially kama kitu kiko nje ya uwezo wako ...
Asante
Asha D,
Naona bado sina hakika na hiyo assertion (maelezo yako) unayojaribu kutoa. Hivi kwa nini mtu upate usumbufu wote huo? Kwa nini usikubali kuuchukua mzigo jumla jumla bila kuangalia nyuma? Kama ni kibudu sawa, kama ni halali poa tu?
Binafsi sijawahi kuhangaishwa na vitu kama hivyo...Nilikuwa naamini kuwa kama mapungufu ya wife hayahusu mambo ya msingi (especially tabia zake na philosophy yake) basi hivyo vitu vingine tunaweza kuvifumbia macho!
Mzee DC.
na haya matatizo/misukosuko tunayoyaelezea humu lazima wajiulize mara mbili mbili kuingia kwenye ndoa, wenigne tuliingia tukijua ndoa ndio yale mapenzi ya kupelekwa kula pizza kila cku, tumekomalia humu, tunagangamalia humu mpaka kieleweke...
Hivi inakuaje mwanamke anaondoka nyumbani kwake anamuaga mume wake ambae ni mzuri as in hamnyanyasi na anajitahidi siku zote kumfanyia mke yaliyo mema..alafu anaenda kukutana na kimada wake ambae nae ni mume wa mtu ambae nae mke wake anajitahidi kumfanyia yaliyo mema?Yani wote wanavunja ahadi zao kwanza kwa kutoka nje ya ndoa zao alafu wanafikia kutamani mpaka kutembea na mume/mke wa mwingine!Watu hawa ambao kuna watu wanawaangalia kama 'rolemodels' kwenye maswala ya maisha tuwachukulieje?