Inakuaje!

Inakuaje!

Ingekuwa kama kuna kubadilishana mimi ningefurahi sana maana nimegundua huyu wa mwenzangu ndio ananiwezea mimi zaidi kuliko huyu niliyekuwa nafikiri nampenda kumbe na yeye naona simtoshelezi
kwa hiyo unacheat na wewe au
 
Wewe itakua hakuna shida, mwenzako atakupelekae nawe ubadilike!
Na kweli wapo watu ambao hua wanaanza vizuri alafu baadae wanabadilika kutokana na matendo/msukumo kutoka kwa wenzi wao!
 
Na kweli wapo watu ambao hua wanaanza vizuri alafu baadae wanabadilika kutokana na matendo/msukumo kutoka kwa wenzi wao!

Ukifeel kuingia uko unitafute physically nikupe maujanja! my sis sawa, kwani siwezi kuafford kupoteza ma busara yako , tabia! and ur positive thinking
 
Shantel nilitaka kumuuliza hilo hilo swali kwamba inakuwaje
si ndio hapo hakuwa muwazi sana embu tusubiri anaweza tupa jibu, mie nitoke na mtu halafu nihisi ananiridhisha kuliko wa kwangu nahamia hukohuko kabisa sina mambo ya kuvumilia
 
si ndio hapo hakuwa muwazi sana embu tusubiri anaweza tupa jibu, mie nitoke na mtu halafu nihisi ananiridhisha kuliko wa kwangu nahamia hukohuko kabisa sina mambo ya kuvumilia
Watu hatuwi wakweli na honest
 
Ni kutokuridhika tu.
Nakubaliana na wewe kabisa. Nina mfano
Wa rafiki yangu ambaye kaolewa na ana watoto
Mume wake anamfanyia kila kitu na wana maisha mazuri ila hajapewa
unyumba zaidi ya mwaka na zaidi. Hapo nyuma
alishafuma msg kwenye simu ya mume wake wakagombana
Na baada ya muda yakaisha. Cha ajabu wanaishi kama kaka na dada
Huyo rafiki yangu si akaja akatongozwa na mume
Wa mtu na akakubali! Though ana regret kutoka nje
ya ndoa lakini anadai yeye ni binadam and she has needs.
Of nilimuadvice kwamba mwisho wake utakuwa ni mbaya
and she knows. Anasema atajitahidi kuachana naye
maana kila akikutana naye anajisikia vibaya sana
afterwards. My take is that huyo bwana has some sort of hold on her
au anamwogopa, akiita tu huyo dada anakwenda
though anaregret-she claims!
 
Ukifeel kuingia uko unitafute physically nikupe maujanja! my sis sawa, kwani siwezi kuafford kupoteza ma busara yako , tabia! and ur positive thinking

Dah!Asante sana Mpiganaji embu nimegee maujanja kidogo PieM...naweza nikawa mmoja wa wale wakukutana jumatatu na jumamosi navishwa pete!
 
tehe mi bado kidogo lizzy nina mambo mengi ya ku accomplish befor sijaanza kuwa kama wewe, tangulia nitakukuta soon mwaka hauishi

Shantel yani mpaka ukamilishe mambo yako ndo utaanza kucheza nyimbo zako mwenyewe??Siongelei ndoa...matendo yanayoendana na mahubiri yako tu!
 
Amateur huyo rafiki yako ni msanii mwingine tu!Kama anajutia na kujisikia vibaya baada anaendelea kwenda ya kazi gani??Kama ni kumtisha nae amtishe alafu aende na njia zake!
 
Nakubaliana na wewe kabisa. Nina mfano
Wa rafiki yangu ambaye kaolewa na ana watoto
Mume wake anamfanyia kila kitu na wana maisha mazuri ila hajapewa
unyumba zaidi ya mwaka na zaidi. Hapo nyuma
alishafuma msg kwenye simu ya mume wake wakagombana
Na baada ya muda yakaisha. Cha ajabu wanaishi kama kaka na dada
Huyo rafiki yangu si akaja akatongozwa na mume
Wa mtu na akakubali! Though ana regret kutoka nje
ya ndoa lakini anadai yeye ni binadam and she has needs.
Of nilimuadvice kwamba mwisho wake utakuwa ni mbaya
and she knows. Anasema atajitahidi kuachana naye
maana kila akikutana naye anajisikia vibaya sana
afterwards. My take is that huyo bwana has some sort of hold on her
au anamwogopa, akiita tu huyo dada anakwenda
though anaregret-she claims!

...haya sasa.

Anyway, zama hizi za 'Uwazi na Ukweli,' sio siku nyingi haya mambo ya Open Relationship yatakubalika kwenye jamii zetu huku dunia ya tatu.

Web definitions
An open relationship is a relationship in which the participants are free to have emotional and/or physical relationships with other partners, often within mutually agreed limits. If a couple in an open relationship are married, it can be called an open marriage.

Binaadamu tumeshindwa kuyakabili Mapungufu yetu.
 
Mbu unadhani bado haijakubalika??Ni vile tu haijapatiwa jina wala kutangazwa rasmi ila yapo na ndo haya tunayoambiwa tuzoee maana ndoa ni zaidi ya tuzijuavyo!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mbu unadhani bado haijakubalika??Ni vile tu haijapatiwa jina wala kutangazwa rasmi ila yapo na ndo haya tunayoambiwa tuzoee maana ndoa ni zaidi ya tuzijuavyo!

...kwakweli.
Nimejifunza mengi wikiendi hii ya pasaka.
 
...kwakweli.
Nimejifunza mengi wikiendi hii ya pasaka.

Hehehe labda kwasababu Yesu kafufuka amekusudia tupate maarifa yatakayotufanya tubadiliki na kuhandle mambo tofauti!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom