Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hiyo unacheat na wewe auIngekuwa kama kuna kubadilishana mimi ningefurahi sana maana nimegundua huyu wa mwenzangu ndio ananiwezea mimi zaidi kuliko huyu niliyekuwa nafikiri nampenda kumbe na yeye naona simtoshelezi
Shantel nilitaka kumuuliza hilo hilo swali kwamba inakuwajekwa hiyo unacheat na wewe au
Na kweli wapo watu ambao hua wanaanza vizuri alafu baadae wanabadilika kutokana na matendo/msukumo kutoka kwa wenzi wao!
Khaa! Lol kumbe ndio unataka kuanzaTuanzeni basi jamani....
tehe mi bado kidogo lizzy nina mambo mengi ya ku accomplish befor sijaanza kuwa kama wewe, tangulia nitakukuta soon mwaka hauishiTuanzeni basi jamani....
si ndio hapo hakuwa muwazi sana embu tusubiri anaweza tupa jibu, mie nitoke na mtu halafu nihisi ananiridhisha kuliko wa kwangu nahamia hukohuko kabisa sina mambo ya kuvumiliaShantel nilitaka kumuuliza hilo hilo swali kwamba inakuwaje
Watu hatuwi wakweli na honestsi ndio hapo hakuwa muwazi sana embu tusubiri anaweza tupa jibu, mie nitoke na mtu halafu nihisi ananiridhisha kuliko wa kwangu nahamia hukohuko kabisa sina mambo ya kuvumilia
Nakubaliana na wewe kabisa. Nina mfanoNi kutokuridhika tu.
Ukifeel kuingia uko unitafute physically nikupe maujanja! my sis sawa, kwani siwezi kuafford kupoteza ma busara yako , tabia! and ur positive thinking
tehe mi bado kidogo lizzy nina mambo mengi ya ku accomplish befor sijaanza kuwa kama wewe, tangulia nitakukuta soon mwaka hauishi
Dah!Asante sana Mpiganaji embu nimegee maujanja kidogo PieM...naweza nikawa mmoja wa wale wakukutana jumatatu na jumamosi navishwa pete!
Nakubaliana na wewe kabisa. Nina mfano
Wa rafiki yangu ambaye kaolewa na ana watoto
Mume wake anamfanyia kila kitu na wana maisha mazuri ila hajapewa
unyumba zaidi ya mwaka na zaidi. Hapo nyuma
alishafuma msg kwenye simu ya mume wake wakagombana
Na baada ya muda yakaisha. Cha ajabu wanaishi kama kaka na dada
Huyo rafiki yangu si akaja akatongozwa na mume
Wa mtu na akakubali! Though ana regret kutoka nje
ya ndoa lakini anadai yeye ni binadam and she has needs.
Of nilimuadvice kwamba mwisho wake utakuwa ni mbaya
and she knows. Anasema atajitahidi kuachana naye
maana kila akikutana naye anajisikia vibaya sana
afterwards. My take is that huyo bwana has some sort of hold on her
au anamwogopa, akiita tu huyo dada anakwenda
though anaregret-she claims!
Mbu unadhani bado haijakubalika??Ni vile tu haijapatiwa jina wala kutangazwa rasmi ila yapo na ndo haya tunayoambiwa tuzoee maana ndoa ni zaidi ya tuzijuavyo!