Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
- Thread starter
- #161
BE asante sana!Kuongea na wenza ili kutambua maîtaji yao ni kitu ambacho jamii yetu ipo nyuma sana!Inabidi sasa tuwe na 'SEBLENI au CHUMBANI PARTY ' kufundisha watu umuhimu wa mawasiliano ndani ya ndoa!Tusiishie kufundishana mambo ya kitandani na jikoni tu wakati masaa 24 yanahitaji zaidi ya hayo kuyamaliza bila kuboana na kuchoshana!