Inakuaje!

Inakuaje!

bora umekuwa realistic

Mzee mwenzangu,...Mzima lakini?

Hawa vijana sijui wanataka nini. Nimewasihi waache kutumia muda mwingi sana (>10%) kuifikiria kesho na badala yake wahangaike na leo ila hawataki kusikia.

Naona wengi wao wameenda kulala roho zikiwa vipande vipande.

Maisha ya ndoa ni mabaya sana na magumu kuliko maelezo. Ila hapo hapo tulio wengi tunaamini kuwa hakuna maisha mazuri na matamu sana kama maisha ya ndoa.

If you happen to be the best character (an Oscar winner) kwenye mambo ya ndoa na ukabahatiaka kumpata star mwenzako basi mambo yenu lazima yawe mswano! Hata hivyo odds za hiyo kitu ni ndogo sana. Cha muhimu ni kuikubali hali na kujiandaa!

Ce ne pa facile (it is never easy)!!

Mzee DC!
 
Wanaume wachache sana ni kubanana tu mpaka tukome! sijui tubaneje tusiibiane, naona kama haiwezekani

Ni wenye bahati na wachache mno wenye utambuzi huo mana watu tunaojua na kutambua hilo; once they get someone who is worth it - we put all the claws out!
 
Wanaume wachache sana ni kubanana tu mpaka tukome! sijui tubaneje tusiibiane, naona kama haiwezekani

Huo ni mtazamo wa upande mmoja tu. Hata sie tuliokuwa tunatafuta wanawake wa kuoa na si ili mradi jinsia ya kike tuliwaona wachache sana. Inategemea na quality ya kitu unachokitaka. Kama unatafuta watu wenye jinsi ya kiume, basi nikueleze kuwa ni wengi sana kama majani wakati wa masika. Ila kama unatafuta mwanamume wa kweli, anayeweza kuwa baba wa watoto wako hapo ndo unapokutana na kibarua cha kweli!!
 
Mzee mwenzangu,...Mzima lakini?

Hawa vijana sijui wanataka nini. Nimewasihi waache kutumia muda mwingi sana (>10%) kuifikiria kesho na badala yake wahangaike na leo ila hawataki kusikia.

Naona wengi wao wameenda kulala roho zikiwa vipande vipande.

Maisha ya ndoa ni mabaya sana na magumu kuliko maelezo. Ila hapo hapo tulio wengi tunaamini kuwa hakuna maisha mazuri na matamu sana kama maisha ya ndoa.

If you happen to be the best character (an Oscar winner) kwenye mambo ya ndoa na ukabahatiaka kumpata star mwenzako basi mambo yenu lazima yawe mswano! Hata hivyo odds za hiyo kitu ni ndogo sana. Cha muhimu ni kuikubali hali na kujiandaa!

Ce ne pa facile (it is never easy)!!

Mzee DC!

mkuu mwenzangu nipo, majukumu hapa na pale, niko partenity kwa sasa....hahaha ndo raha zenyewe hizo na mi viwindfall 'profit' navipata

hawa tukiwaeleza tokea enzi, hawataki kuukubali ulimwengu na malimwengu yake.....until it is too late
 
Huo ni mtazamo wa upande mmoja tu. Hata sie tuliokuwa tunatafuta wanawake wa kuoa na si ili mradi jinsia ya kike tuliwaona wachache sana. Inategemea na quality ya kitu unachokitaka. Kama unatafuta watu wenye jinsi ya kiume, basi nikueleze kuwa ni wengi sana kama majani wakati wa masika. Ila kama unatafuta mwanamume wa kweli, anayeweza kuwa baba wa watoto wako hapo ndo unapokutana na kibarua cha kweli!!

Kwa upande wangu ninaposema wachache sina mana wachache namba zao lah!
Kwa upande wangu ninaposema mwanaume na apply traditional definition ya mwanaume;
that means mashoga, wavivu na tegemezi kupindukia, players over aged
(we una miaka 30 plus na kuendelea bado unakimbiza na ku juggle skirts?)
hawako katika definition ya a traditional African man!
Hivyo nikitoa hizo number hapo juu - NIAMBIE wangapi wanabaki?
 
Ingawa sina hakika kama naelewa definition yako ya traditional African man ila kwa sehemu kubwa uko sahihi. Je ukitumia vigezo kama hivyo bado utaendelea kuamini kuwa wanawake ni wengi sana?
 
Dark city nawaonea huruma wakaka katika hili kuliko hata wadada tokana na ukweli kua a home inatengenezwa na mwanamke. Ukioa mwanamke bomu am tellin you kumrudisha mstari uko sawa kazi kweli plus na hio impatience mlonayo ndio kabisaaaa. BUT mwanamke ukipata mwanamume bomu baada ya kazi ngumu na patience tulionayo possibility ya kumuweka katika mstari sahihi ipo walau kidogo.
 
Asha D,

Naona bado sina hakika na hiyo assertion (maelezo yako) unayojaribu kutoa. Hivi kwa nini mtu upate usumbufu wote huo? Kwa nini usikubali kuuchukua mzigo jumla jumla bila kuangalia nyuma? Kama ni kibudu sawa, kama ni halali poa tu?

Binafsi sijawahi kuhangaishwa na vitu kama hivyo...Nilikuwa naamini kuwa kama mapungufu ya wife hayahusu mambo ya msingi (especially tabia zake na philosophy yake) basi hivyo vitu vingine tunaweza kuvifumbia macho!

Mzee DC.
 
na haya matatizo/misukosuko tunayoyaelezea humu lazima wajiulize mara mbili mbili kuingia kwenye ndoa, wenigne tuliingia tukijua ndoa ndio yale mapenzi ya kupelekwa kula pizza kila cku, tumekomalia humu, tunagangamalia humu mpaka kieleweke...
 
Ni kweli dada ila naona kama vijana wanataka kujipa pressure bure wakati muda wenyewe haujawadia. Wapende wasipende wataingia kwenye ndoa siku moja, na baadhi yao watakutana na haya tunayoazungumzia. Tatizo lao naona ni kutaka kuchukua tahadhari hata kwa vitu vilivyo nje ya uwezo wao. Ndo maana jana nikawapa mfano wa chanzo cha ajali ya gari.....

Wasijipe pressure bure, wasubiri tu ipo siku wataujua muziki ambao wanatakiwa kuucheza...Kama ni rhumba, R&B au bongo flava!!
 
shikamoo Mzee DC
hapo kwenye blue labda muda tumeuweka
karibuni karibuni ndo maana tunauliza..

kwa mimi biafsi wala hata sijipi pressure
na pressure sina kabisa ila nauliza, na kutoa opinion yangu
kwa kile nilicho kiona,kulia, shuhudia na kusikia...
ni kweli saa nyingine ni vema kuchukua tahadhari...
especially kama kitu kiko nje ya uwezo wako ...
Asante
 
Asante mwalimu
 
Uko sahihi AD kwamba ni muhimu kuchokonoa mambo na kujiongezea ma-ujuzi. Wasiwasi wangu ni pale ambapo mnawekeza zaidi ya tulivyotegemea! Kama ingekuwa mnatumia kama 10-20% ya effort kuyafahamu hayo mambo ni poa. Na ile asilimia iliyobaki ingekuwa vema itumike kuweka mambo sawa ili kupunguza (na siyo kuondoa kabisa) uwezekano wa kuwa victims!

Hapo kwenye red, huo ni uzoeafu wa kuwa mtazamaji wa jinsi ngoma inavyochezwa. Amini usiamini siyo sawa na wewe mwenyewe kuingia ulingoni na kuicheza ngoma!
 
Asha D,

Naona bado sina hakika na hiyo assertion (maelezo yako) unayojaribu kutoa. Hivi kwa nini mtu upate usumbufu wote huo? Kwa nini usikubali kuuchukua mzigo jumla jumla bila kuangalia nyuma? Kama ni kibudu sawa, kama ni halali poa tu?

Binafsi sijawahi kuhangaishwa na vitu kama hivyo...Nilikuwa naamini kuwa kama mapungufu ya wife hayahusu mambo ya msingi (especially tabia zake na philosophy yake) basi hivyo vitu vingine tunaweza kuvifumbia macho!

Mzee DC.

Mzee DC unafikiri kuna mtu anapenda kuoa au kuolewa na mtu ambae hafai? Hivi unafikiri walio oa/kuolewa na wanasumbuliwa na wenza wao hizo tabia zilionekana wakati wa uchumba? wanandoa wengi wanajuana tabia kwa undani baada ya kuoana na kuishi pamoja na hapo inakua too late.

Na kama umebahatika kupata mke ambae hana vimbwenga ila tu madhaifu ya kibinadamu mshukuru tu Mungu kwa kukuongoza na usije chukulia for granted kua hata ukiachana na huyo basi utampata mwingine ambae pia atakua hana vimbwenga.
 
na haya matatizo/misukosuko tunayoyaelezea humu lazima wajiulize mara mbili mbili kuingia kwenye ndoa, wenigne tuliingia tukijua ndoa ndio yale mapenzi ya kupelekwa kula pizza kila cku, tumekomalia humu, tunagangamalia humu mpaka kieleweke...

Tuko pamoja.
 
PHP:
Hivi inakuaje mwanamke anaondoka nyumbani kwake anamuaga mume wake ambae  ni mzuri as in hamnyanyasi na anajitahidi siku zote kumfanyia mke  yaliyo mema..alafu anaenda kukutana na kimada wake ambae nae ni mume wa  mtu ambae nae mke wake anajitahidi kumfanyia yaliyo mema?Yani wote  wanavunja ahadi zao kwanza kwa kutoka nje ya ndoa zao alafu wanafikia  kutamani mpaka kutembea na mume/mke wa mwingine!Watu hawa ambao kuna  watu wanawaangalia kama 'rolemodels' kwenye maswala ya maisha  tuwachukulieje?

humans were born to err.....................
 
Back
Top Bottom