Kuna mtu alikuwa kila siku anamsingizia shetani mwisho mkewe akamuuliza shetani wako ni huyuhuyu aliyemuasi Mungu? akamwambia huyu shetani naona sio huyo ni mwingine kamuasi shetani originalHivi kwanini tunapenda kumsingizia shetani?
Oh puhleeez!Huyo shetani wa watu hua anawapitia wangapi at once?Na anapowapitia wao wanaangalia wapi mpaka wafuate mkumbo bila kusogea pembeni wampishe huyo shetani apite??Mambo mengine tukubali tu kuchukua lawama kwasababu ni matendo yetu..hata mtu akikushawishi kitu unaweza kuchagua kutokushawishika achilia mbali kudanganywa na shetani.shetani tu kawapitia, siku yao itafika wataumbuka.
Ushaolewa Lizzy???Hivi inakuaje mwanamke anaondoka nyumbani kwake anamuaga mume wake ambae ni mzuri as in hamnyanyasi na anajitahidi siku zote kumfanyia mke yaliyo mema..alafu anaenda kukutana na kimada wake ambae nae ni mume wa mtu ambae nae mke wake anajitahidi kumfanyia yaliyo mema?Yani wote wanavunja ahadi zao kwanza kwa kutoka nje ya ndoa zao alafu wanafikia kutamani mpaka kutembea na mume/mke wa mwingine!Watu hawa ambao kuna watu wanawaangalia kama 'rolemodels' kwenye maswala ya maisha tuwachukulieje?
Ni kuondoka kwa hofu ya Mungu, kuporomoka kwa maadili na kukosa uvumilivu.....Mungu atusaidie....manake kama alivyosema Mbu,kwa wengi hayo ndo maisha ya kawaida....!😛layball:
Kuna mtu alikuwa kila siku anamsingizia shetani mwisho mkewe akamuuliza shetani wako ni huyuhuyu aliyemuasi Mungu? akamwambia huyu shetani naona sio huyo ni mwingine kamuasi shetani original
Lizzy kama kila kitu kiko sawa including mambo ya sita kwa sita basi inakuwa ni tabia ya mtu, na wa aina hii kuacha huwa hawawezi mpaka makubwa yawapate ndio hutulia tuli.
Nimeuliza Lizzy una mume ili tuone tutachangia vipi maana unaweza ukawa unaizungumzia ndoa kinadharia zaidi. Kama umeolewa una muda gani ndani ya ndoa? Ukitaka kumlaumu mtu unatakiwa kwanza uvae viatu vyake ndo uweze kukosoa ama kusifiaHivi inakuaje mwanamke anaondoka nyumbani kwake anamuaga mume wake ambae ni mzuri as in hamnyanyasi na anajitahidi siku zote kumfanyia mke yaliyo mema..alafu anaenda kukutana na kimada wake ambae nae ni mume wa mtu ambae nae mke wake anajitahidi kumfanyia yaliyo mema?Yani wote wanavunja ahadi zao kwanza kwa kutoka nje ya ndoa zao alafu wanafikia kutamani mpaka kutembea na mume/mke wa mwingine!Watu hawa ambao kuna watu wanawaangalia kama 'rolemodels' kwenye maswala ya maisha tuwachukulieje?
Hulka ya mtu kama anayo haiwezi kubadilika hata kama akiolewa wengine wanaoa/kuolewa kutimiza wajibu tu akiingia ni yule yule atapata kila kitu lakini bado atakuwa kiruka njia tu.Sasa kama mtu hajaridhika na mambo ya kidunia kwanini amtulize mwenzake huku yeye akitapa tapa kila kona ya mji?Kwanini asisubiri atakapokua tayari kutulia?
Nimeuliza Lizzy una mume ili tuone tutachangia vipi maana unaweza ukawa unaizungumzia ndoa kinadharia zaidi. Kama umeolewa una muda gani ndani ya ndoa? Ukitaka kumlaumu mtu unatakiwa kwanza uvae viatu vyake ndo uweze kukosoa ama kusifia
Ngoja nijiandae kupokea mahariBado!Vipi kwani?
Hupaswi kulaumiwa kwa swali ulilouliza. Ila kwa ufupi kila mtu atokaye nje ya ndoa hutoka kwa sabababu zake. Hivyo ni ngumu kulijibu swali lako kwa ujumla. Lakini jibu sahihi ni kwamba. Nakushauri kabla hujashangaa sana na haya olewa kwanza halafu baada ya miaka 10-15 ya ndoa recall hili swali naamini utakuwa na jibu sahihi.Bado!Vipi kwani?
Kumbe mpaka uwe umeoa/kuolewa ndio unaweza kuzungumzia ndoa, nilikuwa sijui kwa style hii kazi ipoNimeuliza Lizzy una mume ili tuone tutachangia vipi maana unaweza ukawa unaizungumzia ndoa kinadharia zaidi. Kama umeolewa una muda gani ndani ya ndoa? Ukitaka kumlaumu mtu unatakiwa kwanza uvae viatu vyake ndo uweze kukosoa ama kusifia
Kuna tofauti kubwa kati ya kuzungumza na kutenda unachozungumza. Wengi ya watu kabla ya kuoa walijiuliza maswali haya na mengine ila majibu yake wanayapata wakati wameoa. Kuna mtu alijiuliza inakuwaje mume na mke wanaachana hakupata jibu zaidi ya porojo ila baada ya kuoa kama 5yrs wakaachana na mkewe akawa ana majibu yote. kwa hiyo hili nalo lina jibu sahihi wakati ukiwa ndani ya ndoa ingawaje kila mtu akatoa majibu sasa hivi lakini 99% si sahihi.Kumbe mpaka uwe umeoa/kuolewa ndio unaweza kuzungumzia ndoa, nilikuwa sijui kwa style hii kazi ipo
Hupaswi kulaumiwa kwa swali ulilouliza. Ila kwa ufupi kila mtu atokaye nje ya ndoa hutoka kwa sabababu zake.