MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
MJ1,
Habari yako binafsi mjukuu wangu? Naamini easter imeenda vizuri na ikakuacha mzima kabisa.
Kwa ufupi na bila kuchakachua post yako ni kwamba UNAFIKI NDiO UNATUTAWALA SISI BINADAMU. Uhalisia unapatikana kwa nadra sana!
Mubarikiwe nyote bandugu bapendwa!
DC
Umeona eh Babu DC....Hakuna zaidi ya hilo.
AD,
Hakuna anayekataa kwamba kutoka nje ni uhuni. Ila asilimia kubwa ya wanandoa (may be zaidi ya 80%) wanatoka nje ya ndoa. Hapo ndipo kizungumkuti kinapoanzia. Amini usiamini hakuna mwenye immunity dhidi ya hii kitu. Ukiweza kuwa miongoni mwa wachache waliomudu kuishi kwenye ndoa kwa staili ya useja basi gold medal itakuwa halali yako.
Binafsi sina hakika kama nitafikia umri wa kuzima kibatali nikiwa nimeumudu huo useja. Ni kazi ngumu sana!
Huyo mwanamke ni kunguru, kunguru hafugiki hata umpe nini.
They never end till the last day on earth...Hizo adventure huwezi kuzitafuta na kujiridhisha nazo kabla hujaoa??
lakini kila mtu akianza kujitetea na kusema i ngumu kwa hali hii kuna matumaini kweli..
au ndo tunachochea na kusaidia haya mambo kuongezeka..
hongera sana kwa kufika ulipofika...
na uzidi kupata nguvu ulizozipata kufika ulipo..
ili uweze kusema mmmhhh na kutukumbusha sisi
hakuna kigumu ukiweka akili yako yote kwenye hico kitu,,
MJ asante mpendwa..easter ilikua nzuri natumaini na wewe ulifurahia yako!! Kuhusu yaliyojificha ndani ya ndoa hata mimi najua yapo!Ila sasa kama mtu ana ujasiri wakwenda kuliwazwa kwa mwingine kwasababu partner wake sio mzuri...kwanini asitumie ujasiri huo huo kuondoka kwenye matatizo badala ya kutatua matatizo kwa kuongeza matatizo??Na kama mtu ametokea kumpenda mtu mwingine zaidi ya partner wake kwanini asimwache kabisa kwa anayempenda??Huoni kama anaechwa nyumbani anakua hatendewi haki?
...mnh, watu hawa ni role models kwenye maisha ya ndoa, au maisha kwa ujumla?
lakini kila mtu akianza kujitetea na kusema i ngumu kwa hali hii kuna matumaini kweli..
au ndo tunachochea na kusaidia haya mambo kuongezeka..
hongera sana kwa kufika ulipofika...
na uzidi kupata nguvu ulizozipata kufika ulipo..
ili uweze kusema mmmhhh na kutukumbusha sisi
hakuna kigumu ukiweka akili yako yote kwenye hico kitu,,
AD sidhani kama kuna anayejitetea..nadhani hapa posts nyingi zinajaribu kueleza uhalisia zaidi ambao at the end of the day tutawezapata ufumbuzi wa janga hili otherwise tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu tukitegemea kupata maji laini zaidi. Lizzy ameuliza swali linalimsumbua ambalo kwa maelezo yake haelewi kabisa kwa nini ndo maana tunaona ni bora kueleza hali ilivyo
but wote tuko katika kujaribu kuifanya dunia hii a better place to live in.... nothing personal at all
halafu cjui mnajuaje kama mtu yupo happy/anapatiwa kila kitu kwenye ndoa yake,coz mnatuona tukicheka kwenye gari nakushikana mikono na mabusu? kuna zile ndoa ambazo zkiwa na matatizo ni ngumu kwa binadamu mwingine kujua labda mmoja wa wanandoa akushirikishe, ishu hapa ni kwamba hawa wanandoa watakuwa ni tabia yao ku cheat....
Kumbe tatizo ni wanaotendwa ndo unawaonea huruma?????Tafuta na mwenzako basi...hilo nadhani linawezekana!
AD,
Naomba usikate tamaa wala usikubali kukatishwa tamaa na tunayoyasema. Ambayo bahati mbaya ndiyo hali halisi huko kwenye battle field. Please play your part..ila usijaribu hata siku moja kuusemea moyo wa mwenzio.
Mzee DC
MJ asante mpendwa..easter ilikua nzuri natumaini na wewe ulifurahia yako!! Kuhusu yaliyojificha ndani ya ndoa hata mimi najua yapo!Ila sasa kama mtu ana ujasiri wakwenda kuliwazwa kwa mwingine kwasababu partner wake sio mzuri...kwanini asitumie ujasiri huo huo kuondoka kwenye matatizo badala ya kutatua matatizo kwa kuongeza matatizo??Na kama mtu ametokea kumpenda mtu mwingine zaidi ya partner wake kwanini asimwache kabisa kwa anayempenda??Huoni kama anaechwa nyumbani anakua hatendewi haki?
MJ asante mpendwa..easter ilikua nzuri natumaini na wewe ulifurahia yako!! Kuhusu yaliyojificha ndani ya ndoa hata mimi najua yapo!Ila sasa kama mtu ana ujasiri wakwenda kuliwazwa kwa mwingine kwasababu partner wake sio mzuri...kwanini asitumie ujasiri huo huo kuondoka kwenye matatizo badala ya kutatua matatizo kwa kuongeza matatizo??Na kama mtu ametokea kumpenda mtu mwingine zaidi ya partner wake kwanini asimwache kabisa kwa anayempenda??Huoni kama anaechwa nyumbani anakua hatendewi haki?
ni wengi nime wahi ongea nao kuhusu hili swala
wanalisifia, hawajali, wanasema ndo maisha siku hizi..
sasa mimi naiuliza kwa nini uolewe au uoe???
ok .
kwa hiyo we unakubaliana au hukubaliani na hili swala?
AD,
Kuoa au kuolewa na jambo moja na kuishi kiapo cha ndo ni jambo jingine. Yanahusiana sana ila yanaweza kuchukuliwa tofauti kabisa kutegemeana na mtu mwenyewe. Kwa wengi suala la kuoa ni kukamilisha hatua muhimu ya maisha bila kujali nini kitaendelea baada ya hapo. Sasa inategemea na wewe mwenye unavyoyachukulia hayo mambo. Ila ukifikiria sana lazima upate ulcers. Wenzio tumeamua kujifanya hatuoni. Tunashukuru Mungu siku ikipita ili mrandi nimetimiza wajibu wangu responsively. Sithubutu hata siku moja kujibebesha mzigo wa kuwaza nini kinaendelea upande wa pili!
DC