Inakuaje!

Maisha kwa ujumla...ndoa included!Maana sio kila mtu anajua walivyo kweli bali wanaonyesha vile wanavyotaka kuonekana!

...ok, sasa nimekuelewa.


...wallahi hata mimi ningejibu hivyo, ila kiukweli kila jambo lina sababu yake.
Maelezo ya 'kwanini' ni bora kuyafungia kwenye 'safebox' na kumeza funguo!
 

ntazidi kusukuma siku mbele
si dhani kama ntakuwa singe milele

kama mtu mwenye ndoa anatanga na njia
na singe naye anatanga na njia mmhhh
maana ya ndoa hapo inakimbia kidogo..
.

anyway
Mzee DC asante kwa kila kitu
 
Mifano hai ndo inayofanya mpaka naogopa!

Lizzy,nikwambie kitu? kuoa/kutokuoa,kuolewa/kutokuolewa yote ni matatizo matupu and i am talking from a very long experience.All i can say ni kwamba maisha ni mtihani,maisha ni mchakato wa kujifunza na mchakato huu unakoma pale tu unapoitwa mbele ya haki,period!
 
Binadamu ni social animal na kucheat ni mojawapo ya tabia za society, sio tabia ya mtu mmoja mmoja, ni tabia ya kundi. Mi nadhani tukubali tu kuwa kucheat ni mojawapo wa mapungufu aloumbiwa nayo binadamu.
 
Hahaha haya kajipooze urudi kumalizia somo BACHA!Swala la kutafuta kipoozeo cha muda kwani hamuwezi kusubiri mpaka nyumbani mambo yawe sawa?Imagine mmegombana umewahi kwa mama Hawa!Ukirudi hasira zimepungua mnayamaliza..kesho anajua kuhusu mama Hawa zogo lingine linaanza!Kwanini uongeze matatizo juu ya matatizo bwana?Embu tulieni!
 
Wapendawa wanajamvi hili tukufu la MMU,

Maisha ya ndoa tuyaache kama yalivyo. Kila mtu anataka faidi bila kuwekeza....Sijui tutaipata hiyo faida.

Halafu unaweza kuishi kiseja kumbe mwenzio anakung'ong'a (mfano wa baba Enock hapo juu unatisha).

Kwa hiyo basi, na kila mtu aitumikie nafsi yake na kumtendea mwenzake yale ambayo hayatampeleka ICU au mortuary kabisa.

Nawatakia jioni njema na sikuu njema ya muungano (kiini macho)!
 
Bora ya wanaokaa hata kwenye Gari moja
 
Khaa! Mimi sitatoka nje ya ndoa yetu mbona unaanza kuwa na wasiwasi na ndoa hatujafunga.

Ni vizuri kuwa na wishes nzuri kama hizo....Tunakusubiri pale counter tuone kama movie itabaki ni hiyo hiyo au utabadili kutoka drama kwenda kwenye actions!!
 

sante sana
jioni njema Mzee DC
 

Nakubaliana na wewe mia kwa mia. Mambo ya ndoa ni unique kwa kila familia. You need participatory observation na si survey kupata majibu sahihi
 
MPENDWA asante kwa maelezo mazuri..ila mimi siogopi ndoa kwasababu nadhani hamna waaminifu!Naongoza kwenye kuwaambia watu wanawake na wanaume waaminifu wapo ni kiasi tu cha kuwapata!Ila kwa tunayoona na kushuhudia kila siku yanapunguza imani ya kwamba na mimi ntakua mmoja wa wenye bahati nipate mwaminifu!All in all jamii inafanya wengi wachukulie kutokua mwaminifu ndoani kama kitu cha kawaida na tunachotakiwa kukikubali...sasa sisi wabishi hatutaki yatukute ili na sie tusiyakubali!
 
Khaa! Mimi sitatoka nje ya ndoa yetu mbona unaanza kuwa na wasiwasi na ndoa hatujafunga.
Hahaha..si unasikia wanaume wenzako wanavyofagilia kutoka?Naogopa na wewe usijae ukawa wale wale!
 
Asante mzee DC kwa muda na mafunzo!Jioni njema!
 

asante lizzy
leo kweli umetuweza..
 
DC nafikiri hatumshirikishi Mungu kwenye ndoa zetu wav wanasema wanamshirikisha kumbe wanafanya kinafiki tu nakumbuka kuna siku padri anafungasha ndoa kanisani akauliza "Ambaye hajawahi kutoka nje ya ndoa yake anyooshe mkono" kati ya watu wote wakiokuwemo kanisani walinyoosha wawili tu.
 
Mhhh mie chichemi kitu, maana hizi ndoa kila mtu ana experience tofauti. ingieni jaman mjionee vijimambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…