Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,861
Maisha kwa ujumla...ndoa included!Maana sio kila mtu anajua walivyo kweli bali wanaonyesha vile wanavyotaka kuonekana!
...ok, sasa nimekuelewa.
heri na kwako pia kaka..
cjui tufanyaje ilituridhike na ndoa zetu, mie wakati ule niljaribu kumuweka mr chini na kumuhoji ni kitu gani kimempelekea mpaka akafanya vile, jibu ni kwamba hata mwenyewe hajielewi y alifanya hivyo, kwa maelezo yake ni kwamba anajutia sana coz hakuna kipya alichokiona huko, sasa y uli cheat, nisamehe mke wangu...khaaa jamani...
...wallahi hata mimi ningejibu hivyo, ila kiukweli kila jambo lina sababu yake.
Maelezo ya 'kwanini' ni bora kuyafungia kwenye 'safebox' na kumeza funguo!