Hivyo hivyo ndo itakua mpaka uwe maskini ndo uongelee wizi..uchanganyikiwe ndo uongelee bangi...upate mimba ndo uongelee utoaji!Kazi ipo si kidogo!
Yah everybody should take advantage of any situation kama ina benefit kwake kwa wakati huo mpaka akae sawa. Sasa wa kuimba hallelujah tunaimba, wa kujidanganya kupindisha hali halisi na maisha yalivyo wanaendelea, ilimradi kila mtu anafikia anapotaka na akiangalia nyuma anajiuliza, hivi ni mimi nimetoka mbali kule au sio mimi?? Uzuri Mungu ni wa wote ndio maana utakuta mchungaji mzuri tu mwishoni anamkosea Mungu na kwenda motoni ila kuna mwingine mtenda dhambi kubwa anapata Golden chance dakika za Mwisho anatubu, hii imekaaje?
Mpiganaji embu acha kuwatetea wanawake...nawajua wanaotoka ili mradi tu!Mi nabaki kua mshangaaji!Lizzy, ingia ujionee my sis!watu wengi wanawish mengi before ndoa lkn after mambo magumu sana! kunasababu nyingi lakini kwa mwanamke ikitokea kutoka nje ya ndoa mara nyingi kunasababu ya msingi.
Dini tu rafiki inanifanya niamini kuna moto wa milele hakuna lingine, na wewe pia jioni njema wngdahhhh
asnte sana Gaga
lakini hiyo ya motoni mmhh
siiamni tangu nilivyokuwa mdogo..
naamini maaisha ya taabu unayoishi hapa duniani ndio mto wangu..
hiyo ni opinion yangu tu..
kweli sintohitaji lecture zaidi nimesikia
na wengi wameniambia mengi kuhusu hilo ..
lakini at the end of the day Mungu ndo anajua kuhusu hayo yote..
jioni njema..
Tuko pamoja Gaga.Sababu ya hiyo quote yangu na huo mfano wa Mungu,nionavyo mimi unapaswa ujumuike na wakosaji na uwaelekeze mema badala ya kuwakana na kusema hufanani nao au inakuwaje hapo rafiki
Mimi sio kunyoosha tu nitasimama na kusimama kabisaHahahaha...alafu miaka kadhaa ijayo na wewe hutanyoosha ehh?
Dini tu rafiki inanifanya niamini kuna moto wa milele hakuna lingine, na wewe pia jioni njema wng
Tumuombe Mungu sana bila kuchokahahahahah lol
ndoa siku hizi usanii mtupu..
kama ritz alivyosema hapo juu..
sana sana tunajidanganya wenyewe tuu..
Tumuombe Mungu sana bila kuchoka
Mkuu umeongea jambo la msingi ni muhimu kila saa na kila wakati kumshirikisha Mungu kwa kila jambo na pia kuombeana ili tusije tukaingia majaribuni.Ni kweli, sio tusubiri kusali,
mpaka kifike kipindi cha kwaresma tu!!!!
Mpiganaji embu acha kuwatetea wanawake...nawajua wanaotoka ili mradi tu!Mi nabaki kua mshangaaji!
If wishes were true on that lol suzie stop dreaming.Ingekuwa kama kuna kubadilishana mimi ningefurahi sana maana nimegundua huyu wa mwenzangu ndio ananiwezea mimi zaidi kuliko huyu niliyekuwa nafikiri nampenda kumbe na yeye naona simtoshelezi
Ingekuwa kama kuna kubadilishana mimi ningefurahi sana maana nimegundua huyu wa mwenzangu ndio ananiwezea mimi zaidi kuliko huyu niliyekuwa nafikiri nampenda kumbe na yeye naona simtoshelezi
Lizzy, siwatetei lakini majority ndio iko hivyo,mimi natamani pia kama ingewezekana kuishi mwenyewe kwani theory ya ndoa ni ngumu na hakuna jibu la moja kwa moja na formula ya kufuata ni ngumu sana zaidi uanvyofikiria!
Mmmh!Hao majority hawana sababu wana visingizio tu!
Hehehe nisije tu nikabadilika ehh?Mungu anisaidie nikishawishika iwe na tunaefanana ili tusisumbuane!