Eneo kubwa linalo milikiwa na Serikali lililopo Kwembe/luguruni lilitolewa au lilitengwa na Serikali ya awamu ya 5 kwajili ya ujenzi wa Arena baada ya Mbunge wa eneo hilo kuliomba.
sasa leo hii tunasikia Arena itajengwa Kawe?!! kulikoni?
mboni wilaya ya Ubungo inatengwa kupata miradi ya maendeleo yenye kuchochea uchumi?!!
Wilaya ya Ubungo haswa maeneo ya Luguruni/Kibamba/Kiluvya haya maendeleo ya kiuchumi licha ya kuwa na maeneo makubwa ya wazi, tunahitaji watu wa mipango Miji kuishauri Serikali vyema.