Inakuwaje baadhi ya wanawake wapo tayari kumwacha mwanaume anayempenda kisa fedha baadaye anarudi na kutaka muwe wapenzi kisirisiri?

Acha kutumia mifano butu
Marry Magdalene ni hooker mstaafu wakati wewe kwa sasa ni hooker in charge hamuwezi kuwa sasa hadi utakapoacha kuuza nyapu.
 
Sio tu wanaume wanapita hiyo shida hata wanawake pia. Unaweza amua kumpenda na kumvumilia mwanaume mwenye Hana pesa lakini siku akipata ndo anawajua wadada wa mjini wanaojua kutumia pesa.

Ukihoji unaonekana unamsumbua fedheha na dharau juu, anakuonyesha wazi kwamba Yuko kwenye another relationship na hajali unaumia Wala Nini. We kaka Mungu aendelee kukuonyesha upande wa pili wa Dunia,,,mtu unaona ujiachie tu usije kufa Bure.

Sasa hapo ni binadam wote tu mkuu we usiseme wanawake tu wakati tupo wanawake ambao tulitulia na tukajeruhiwa vikali na wanaume
 
nina wasiwasi na jinsia yako kama siyo basi una shida
 
Mbona katumia neno baadhi.
 
Kila upande unapigania uko sawa kuzid upande fulani.
Nasubiri Uzi utakao kuja kutugombanisha kitaifa 😂
 
Mapenzi hayana formular, unaweza sema ukiwa na Hela ndio atatulia haya Kuna Uzi humu jamaa anamhudumia mwanamke kumbe mwanamke anatoka na boda boda na anamhonga na boda boda kamkula mpaka tigo ambayo mpenzi wake hajui, utasema Cha msingi upendo hamna atakayekupenda ashinde na njaa. Cha msingi jipende mwenyewe kwanza, ukijipenda wewe upendo utaobakia ndio upende na wengine
 
Wanawake wa hivyo hawafai hata kidogo
Kwani mama zetu au wazee wetu mbona walivumilia?

Wewe sema wanawake wa sasa kuvumilia mwanaume ambaye hana ela ni kazi tu
Sio kuvumilia mwanaume ambaye ana hela ni kazi ivo umesema wanawake wote
 
Acha kudanganya wenzako waje wanyooshwe bure 🤣🤣💰
Weweee hakuna wa kumnyoosha mtu anae kupikia ...sasa sikia ukiona ametulia mbali na kumnyanyapaa ujue zako zina hesabika tu! mlishaambiwa ''mkae nao kwa akili''

Mungu mwenyewe na jeuri yake yooote aliwapa hilo onyo!! na wewhapa umekumbushwa bure sasa kaa nae huyo ke kwa kutumia makalio uone moto........hatutakuona humu tena!
 
Acha kutumia mifano butu
Marry Magdalene ni hooker mstaafu wakati wewe kwa sasa ni hooker in charge hamuwezi kuwa sasa hadi utakapoacha kuuza nyapu.
Nyapu tutauza sana! sababu wenzako wanajua kuzitumia uzuri......tushindane uone nani zaidi!! kama utafua dafu!! wewe si una kwa Mpalange bana unalia lia nini??

tena wewe ni tajiri unaweza tumia kote kote ukala maisha!! lkn ke ana moja tu! bado unatuonea wivu njoo tukuunge bana! mafuta ni bure! make unatuonea wivu.......then huna hela utalia sana!!

kwanza hata Biblia huijui unaruka ruka tu!
 
nina wasiwasi na jinsia yako kama siyo basi una shida
Kwa uelewa wako unadhania kuna jinsia ngapi Duniani humu?? by de way uijue yangu ili iweje!! ......mie nimetangaza jinsia yangu hapo? hili swali umelitoa wapi kijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…