Loool!! jitu Baba zima ninalipikia, lina sonsomera matonge! nalibeba, nalilaza kitandani kama toto dogo, tena linanililia kifuani, bila kupigwa, ninalizalia photocopy vidume visivyo idadi!...eti linikimbie?? liende likazae huko tena??
Acha utani bana!! sie humu tuko serious!...yaani kabisa liondoke na suruali linachanganya vitako pasi.eti naondoka?Mawee Mkama wangeeee!! ofwire nyambara...... Kwanza ...
Hayo matoto yake yenye macho kodo alokojolea hapa, yaani tena bure bure tu!! atamuachia nani??thubutuu? akae atulize akili za kinyeo hapa, vinginevyo Ama zake! Ama zangu! ataitwa alikuwepoga!! favoritismyname!!
ataona Dunia inazunguka kinyume nyume!....athubutu aone!! hata kutania tu! haya madume tuna yazaa bure tu haya tulipi chochote kamwe hayana ujanja ...wengi humu ni ujanja nyuma ya key Board tu!!
Sasa hawa me! wenye kelele hawa! uwakute wakiwa kwa wake zao ni utacheka mpaka unye! yaani ni kimyaaaa!! utadhania siyo wao! kama mie muongo Mtizame DR VAMA akiwa na mke wake!!
Ukitaka Boss wako akupende wewe jitahidi tengeneza urafiki wa heshima na mkewe! ! ke akimtamkia tu mumewe huyu kijana hodari sana nampenda sana!! Basi Mwana niamini mimi kuwa umeula!
Ndo uone ke walivyo na nguvu!! Hayati J.K. Nyerere alipotaka kwenda soma Mwisenge! cha kwanza alichofanya alimwambia Mama yake mzazi kwanza, ili akamuombee Rhuksa kwa Mzee Burito Nyerere!!
Kilicho tokea kikawa kikubwa sana Africa na Duniani kwa ujumla wote humu mnajua. Nyerere ni Iconic figure ya Dunia, chanzo ni Mwanamke wa chief! Mama Mgaya!! Mungu amlaze mahali pema huyo Bibi !!
bila huyo Bibi kumuombea Rhuksa Mchonga kwenda kusoma S/Msingi Mwisenge!! leo hii nisingepata Elimu ya karibu na Bure! Nisinge ishi Biafra! nisingekuwa nyuma ya key Board!
huenda wakoloni wangekuwa bado wapo humu tunakula nao vihepe!...achana na kitu Ke!...akina Mama wenzangu Hongereeeni saaana!! Nyie/sie ndo tumeishika Dunia Pabaya tujitambue! tuwapeleke hawa kenge hawa!
Natoa wito kwa wa-Mama/wadada wooote humu JF! na woote kuwa usikubali kutumiwa km Ganda la muwa!! serikali ipo pamoja na sisi! Me hawana jeuri!! ya kututumia sie bali ni ujanja ujanja mwingi tu nyuma ya key Board!!
Lakini kiundani ni walaini mnooo!!! .....watumwa wetu wa hiari tu!! kwanza wanatutafuta tafuta kwa mbinde kama zoote!! tunawabariki wanapata hela/utajiri!! tukinuna ndani hawapatiga hela hao!! hawasemagi tu!
lkn kiundani wanjua hilooo! ..kwanza me ambae hajaoa utamuona tu mchafuuu! kikwapa!...hana mbususu pia kupata nikwa mbinde sana! lkn aliyeoa msafiii tena anapaka mafuta/perfume! Mbususu km zote zinamfuata!!